Maeneo ya cet garden karibu na kwa mrefu -arusha kimewaka moto

Jethro

JF-Expert Member
Mar 23, 2009
2,219
370
Wana JF,

Huku Arusha ukiwa wapita Ngulelo karibu na Cet Garden Bar, Hali ya hewa imechafuka kabisa.

Hii ni kutokana na kuachiwa huru kwa Mtuhumiwa kwa kesi ya Mauaji. Mtuhumiwa ni Remini Ni Fundi magari na ana Garage yake kule sakina. Inasemekana alimpiga shaba mtu na huyo marehemu hajazikwa bado

Sasa ndugu wa Marehemu wamecharuka wamekuja juu na watu wengine wanaelekea kwake huko kwa mrefu.

Inavyosemekana mpaka sasa Hape maeneo ya Cet Garden ni kumejaaa utitili wa watu.

My Take;

Makosa kama haya police wanajitakia wenyewe, Hata kama mtuhumiwa ni innocent huwezi mwachia nje ingali wajua kabisa ana kesi ya Mauji. Yet anatakiwa awe under Protective Custody.

Hivi police wetu huwa wanafikilia kwanza au ni pesa na njaaaaa zinawasumbua
 
ungana nao basi !kwenye hizo vurugu sio unapost thread maana policcm wanatuonea sana

Mkuuu penda kuelewa kwanza
.

Katika hilo Police walipaswa kujitambua nini kazi yao katika kulinda usalama wa Raia na mali zao ila wao wanajifanyia watakavyo!!!!!

Sio Politics hiyo, Tusipende sana kuweka siasa kwenye uwajibikaji na ndio maana twajitahidi humu kuwalekebisha Police wetu kwa kila hali
 
kaka mimi si mwanasiasa ,ila nakushauri tu ,mimi nieshajiunga nao
 
Mkuuu penda kuelewa kwanza
.

Katika hilo Police walipaswa kujitambua nini kazi yao katika kulinda usalama wa Raia na mali zao ila wao wanajifanyia watakavyo!!!!!

Sio Politics hiyo, Tusipende sana kuweka siasa kwenye uwajibikaji na ndio maana twajitahidi humu kuwalekebisha Police wetu kwa kila hali
Ndugu yangu tatizo sio siasa wala nini shida ni kwamba nchi hii kuna watu wamejiona kama miungu watu wanaweza kuuwa watu kuwapiga risasi wala hakuna hatua yoyote inayochukuliwa!!! Matokeo yake ndio hayo ya mass justice, kweli mtu katoa bastola na kuuwa innocent civilian na polisi wanaona ni minor issue mtu muuwaji huyo anaachiwa huru bila hata kupelekwa mahakamani je ni sawa hiyo?????
 
matatizo mengi ya kiusalama ya hii nchi yanasababishwa na polisi wenyewe... iweje muuaji aachiwe halafu aonekane mitaani??
kwa hiyo maafa mengine yakitokea kutokana na vurugu hizo itaundwa tume au??
 
Back
Top Bottom