maendeleo

gudy gudy

New Member
Dec 11, 2011
3
0
hv kwa nini viongozi wetu wanapenda kuomba misaada kwa ajili ya mambo ya maendeleo na vitu vya msingi lakini vitu visivyo na tija wanavimudu kuvifanya.......,? hv kweli sisi baada ya kufanya sherehe kubwa na za gharama za miaka hamsini kwa mablioni ya shilingi, ni watu wa kutafuta mtu wa kutusaidia pesa ya kufanyia sensa kweli wanajamii........................?
 
Back
Top Bottom