maendeleo yapo ila si sawa kwa miaka 50

undugukazi

JF-Expert Member
Sep 15, 2011
315
82
"Kwa kuwa wakoloni walituachia misingi dhaifu ya maendeleo ndio maana kazi ya kukuza uchumi ni kubwa" -JK . Ni kweli maendeleo tunayaona ila si sawa kwa miaka 50, tupunguze kujaza matumbo binafsi na tufanye mambo kwa maslahi ya wote...hivi uchumi wa tanzania unategemea nini hasa coz hamna sehemu tuliyo serious si madini, bandari, airport, kilimo etc kila kona tupo partial tuamue moja...mwaka huu ni kilimo tupige sera na kampeni za kilimo next kitu kingine afta years hata ukisema maneno hayo unaeleweka
 
Back
Top Bottom