Maendeleo ya Tanzania yataletwa na kuongelea masuala ya kitaifa si majina ya watu

mmaroroi

JF-Expert Member
May 8, 2008
2,960
544
Watanzania sasa tuongelee sifa za waofaa kuongoza nchi yetu na si kuongelea majina ya watu.Sifa za kiongozi anayefaa kuongoze ziteonyesha dhidi mhusika alivyo na nia njema ya kuongoza.Kuongelea majina ya watu kuwa huyu ni maarufu hazina tija katika kuiletea Tanzania maendeleo.Naomba ndugu zangu wanaJF tuchangie jambo hili.
 
Back
Top Bottom