Elections 2010 Maendeleo hayaji bila mabadiliko

Mkweli H

New Member
Oct 29, 2010
1
0
Navyamini mimi hakuna taifa lililopata maendeleo bila mabadiliko ya kisera na kiutekelezaji wa sera hizo kwani huenda sera zikawa zinafanana ila watekelezaji hawawezi kuwa sawa kwani wanadamu hatulingani kwa kila jambo!!
Kwa mtazamo wangu naamini Tanzania ya leo inahitaji mabadiliko hayo na sababu ziko wazi na zaidi ya miaka 50 sasa kwa mtu mwenye akili timamu huwezi mweleza kuwa Tanzania inapiga maendeleo yanayostahili kuwapo kulingana na utajiri mungu alotubariki hivyo basi wakati umefika sasa kama mkoloni tulimwondoa iweje iwe chama tu!!!
WAZEE WAACHE UOGA ETI LABDA KUNA BAYA LITATOKEA.....
WANAWAKE SI MUDA WAKUDANGANYWA NA VIJIZAWADI....
VIJANA WAKATI NDO HUU......
WAZAZI ANDAENI MAZINGIRA BORA YA SIO NA TABAKA KWA WATOTO WENU....
CHAMA MAKINI,,,, VIONGOZI MAKINI,,,
YOTE HAYA YANAWEZEKANA KWA KUTUMIA HAKI YAKO YA MSINGI TAREHE 31
TUKAPIGE KURA
 
Back
Top Bottom