Mkuu tena cha ajabu kuna wengine walioponda wao wenyewe wamewahi kuanzisha sredi za kuchakachua vitu humu humu jukwaanina wakapata sapoti nzuri tu.Jamani tusikatishane tamaa bure!! Kwani hii ni thread ya kwanzanya aina hii?? Mbona thread za namna hii nyingi sana zimepita humu bila ya kuwatukana waanzishaji?? Kwa mfano tulifundishwa humu jinsi ya ku-hack huawei modems. Jozzb kakosa nini mpaka atukanwe??? Acheni hizo jamani!! Kama hutaki potezea tu waache wanaotaka. Pole Jozzb, usikate tamaa, tuletee vitu vingine utakavyoona vitatufaa.
Kama una idea kidogo tu ya teknolojia utagundua kwamba software hiyo inaweza kukufanya badala ya kutumia mb za ofa usiku sasa unaweza kuchakachua na kutumia na mchana hadi zitakapokwisha, na wala sio za bure, so hakuna wizi wowote hapa