Maelezo ya mkutano wa Al-Adawi na Ridhwan Kikwete

hapo kunaweza kukawa na ukweli,
kwani hamkusikia kuwa aliondoka na kwenda Dubai kama wiki 2 zilizopita akiwa na escort ya polisi?
je alikuwa anakwedna kufanya nini? kama sio kumleta huyo msela ili wamalizane?

Hii ni hadithi yako ya kubuni. umesomeka.
 
Jamani tuwe na uhakika na tunachokiandika na sio kuleta matatizo kwa wengine.

Mtoa mada je unauhakika na hii bandiko lako?
 
Jamani tuwe na uhakika na tunachokiandika na sio kuleta matatizo kwa wengine.

Mtoa mada je unauhakika na hii bandiko lako?

unajuwa hata marekani mpaka leo swala la nani aliye muuwa kennedy lina mvuto mkubwa sana, inategemea unalitazamia kutokea wapi usikute aliyeleta hili bandiko akiona kizee mwenye macho mekundu akambariki kuwa ni mshirikina:A S 112:
 
Kama ni kujazana machicha kweli humu JF tunajazana machicha tena siyo ya nazi maana yanaweza tumikana kwa kashata na buskuti ni ya kimea. umesema rizone aliongea na huyo bwana nyumbani kwake hujasema kwa siri au kwa uwazi kama kwa uwazi mkasikia basi mjue haikua siri kama ni kwa faragha kanini nyumbani kwake? swala la kwamba dowans italipwa naona unapandikiza chuki tu dhidi ya huyo kijana. Kuna mtu kauliza kama ni dhambi mtoto wa rais kumsahuri baba yake hata akimuona anaingia chaka ni dhambi? Sasa tujiulize je kuudanganya umma kwaajili ya chuki binafsi ni dhambi? je naitenda dhambi hiyo na adhabu yangu ni ipi?

Kuhusu habari yako kutoka gazetini haimaanishi kuwa ndiyo kigezo cha kuifanya iwe ni ya kweli. Siyo kila kinachoandikwa gazetini ni cha kweli kama huamini hilo fanya utafiti usiyo na chuki kwa magazeti ya kulikoni, nipashe, tanzania daima na mwananchi uone kesi zilizomahakamani na pia uchunguze vizuri ujue ni habari ngapi za uongo zinazoandikwa ilimradi tu gazeti liuzike. Pia ujue Tanzania ni mojawapo ya nchi zenye waandishi wa habari wavivu mno kutafuta habari hivyo hufanya coping and pasting na hivyo akiona kinachomvutia machoni humu JF atakigeuza na kukiandika gazetini kwa style ambayo hutadai copyright.

Mkuu, umenena vyema
Hilo hata miye nimeliona,, humu ni bora liende tu, hearsays ndo zinatawala, hakuna facts wala nini, ni chuki binafsi. Ajabu kabisa
 
Hivi wewe una ufikiri wa uhalisia? Hiyo ndio dream ya kila mtoto duniani, kuwa na kazi ya baba'ke. Hata Merekani tunawaona kina Bush kina Kennedy Kina clinton, India kina Ghandi. Na hizo ni demokrasi za kusifika kama ilivyo Tanzania. Jee, kuna ubaya gani mtoto wa kinyozi akiwa kinyozi?
Ndio maana tunamuona Isack Mwigulu akishika kasi pia!
 
Back
Top Bottom