mpenda
JF-Expert Member
- Jul 21, 2010
- 250
- 22
Mmmhh jamani na SONGAS tena?? tupeni evidenceKwani inahitaji PhD kujua SONGAS NI ya Kikwete wanahabari vipi??

Utangulizi:
Jana nimeweka thread ya mkutano wa wabunge kadhaa wa Kamati ya Nishati na Madini kisha ikang'olewa kwa kile kilichoelezwa kutojitosheleza. Lakini kile nilichokiandika kikaandikwa na gazeti la Nipashe Feb 24, 2011 katika muundo mwingine: Angalizo langu kwa MoD: Uwe na moyo wa subira hata kwa yale usiyoyapenda:
HABARI MPYA
Jumapili ya Februari 20, 2011, saa kadhaa baada ya taikuni wa Dowans kukutana na wahariri na kisha kugoma kupigwa picha, taikuni huyo alikuwa na kikao na Rizwan Kikwete. Taarifa zilizotiririka kwa mtindo wa Diplomatic kebo zinaeleza bila shaka kuwa Rz1 alimfata taikuni huyo katika hoteli ya Kempinski majira ya saa tatu usiku na kisha kuongozana naye hadi katika nyumba anayoishi ile inayoaminika kujengwa na mafisadi wa EPA iliyopo Mikocheni jirani na Rose Garden. Kikao hicho kilifanyika hadi saa tano usiku ambapo vijana wetu ambao walikuwa wakivizia nyendo za Al-Adawi walimuona akitoka na RZ1 saa 5:15 na kurejea hotelini kwake.
Katika kikao hicho Rz1 alimhakikishia Al-Adawi kuwa Dowans italipwa na pia itapewa kazi zaidi, huku pia akimuomba ushirikiano katika biashara za sekta ya nishati katika siku zijazo.
Hii itakuwa ni mara ya pili kwa Rz1 kujiingiza katika mkakati wa kuwekeza katika sekta hiyo ikiwa ni baada ya hatua yake ya kwanza kushindwa mwaka 2006 wakati alipoenda kusaka kampuni la kufua umeme toka Ujerumani lakini wataalam wa TANESCO wakalitilia mashaka kwa kuwa lilikuwa halina uwezo wa kuleta mashine zake na walizokuwa nazo zilikuwa za kizamani zaidi.
...this is stupid! maelezo yaliyotolewa ni upuuzi tu, ni kutaka kutwist watu wahame kwenye ajenda za maana na kujadili upumbavvu huu!!!Utangulizi:

...this is stupid! maelezo yaliyotolewa ni upuuzi tu, ni kutaka kutwist watu wahame kwenye ajenda za maana na kujadili upumbavvu huu!!!
Bado siamin ka nchi yetu imefikia mahali watu au mtu ankuwa hired kuconfuse watu,tena wengine wako kwny vyombo vya usalama kama tiss..km ni kweli hali iko hivi nchi hii iko pabaya! halafu watu wamecomment kwny habari ya kijinga km hii.
Let's assume hayo aliyoandika Tanleaks ni kweli, ingawa yana walakin, kwani ni dhambi au sheria hazimruhusu Rz1 kukutana na Adawi na wakazungumza ya ama biashara ya ama kusoshalaiz?
Hivi huyu Adawi na hii Kampuni ya Dowans imekosa nini? Kuna mtu anaweza kusema kosa lao ni nini?
Au hizo ni chuki na roho mbaya tu? Rizwan akikutana na tajiri yeyote duniani, hakuna kosa analolifanya. Yeye ana life yake, ana biashara zake na Mungu kamjaalia ana jina na nasaba nzuri tu, ya kuwa mtoto wa Rais.
Hivi. Nyinyi hamna watoto zenu wanaojidai kwa kuwa na baba au mama kama nyinyi? Kama ni wahandisi, madaktari, waandishi, vinyozi, madereva, hamuoni sifa watoto zenu wakisema "mimi babangu kinyozi". Sasa kwa nini Rz1 asitumie hayo na kusema "mimi babangu Rais wa JMT"? Kuna kosa hapo?
Wacheni roho za korosho.
Sikujua kama TANleaks unaweza kuwa muongo kiasi hiki. Hivi hapa unataka kumdanganya nani? Maelezo yako yana walakini mkubwa saaana. Sio vizuri kumzushia mtu jambo la uongo kama unavyofanya kwa Ridhwani. Kama umetumwa basi ni vizuri mukatafute zengwe linaloeleweka, hili hapa bado hujampata mtu. Waliochangia ujinga huu nao hawakuwa na uelewa wa kuhoji au walipangwa kuchangia. Mujihadhari na tabia hizi kwani munajidhalilisha na kuuza utu wenu.
Codecola, usiwe na tabu TANleaks ni asasi kubwa inayoweza kupata taarifa hadi zile unazotoa kwa kunong'oneza. Najua R1 ama wapambe wake wamo humu wanashambulia thread hii, kama ana ubavu atokeze ajibu ili niibue mengine ambayo nimeyaweka pending kwa sasa.
PHP:HABARI MPYA Jumapili ya Februari 20, 2011, saa kadhaa baada ya taikuni wa Dowans kukutana na wahariri na kisha kugoma kupigwa picha, taikuni huyo alikuwa na kikao na Rizwan Kikwete. Taarifa zilizotiririka kwa mtindo wa Diplomatic kebo zinaeleza bila shaka kuwa Rz1 alimfata taikuni huyo katika hoteli ya Kempinski majira ya saa tatu usiku na kisha kuongozana naye hadi katika nyumba anayoishi ile inayoaminika kujengwa na mafisadi wa EPA iliyopo Mikocheni jirani na Rose Garden. Kikao hicho kilifanyika hadi saa tano usiku ambapo vijana wetu ambao walikuwa wakivizia nyendo za Al-Adawi walimuona akitoka na RZ1 saa 5:15 na kurejea hotelini kwake. Katika kikao hicho Rz1 alimhakikishia Al-Adawi kuwa Dowans italipwa na pia itapewa kazi zaidi, huku pia akimuomba ushirikiano katika biashara za sekta ya nishati katika siku zijazo. Hii itakuwa ni mara ya pili kwa Rz1 kujiingiza katika mkakati wa kuwekeza katika sekta hiyo ikiwa ni baada ya hatua yake ya kwanza kushindwa mwaka 2006 wakati alipoenda kusaka kampuni la kufua umeme toka Ujerumani lakini wataalam wa TANESCO wakalitilia mashaka kwa kuwa lilikuwa halina uwezo wa kuleta mashine zake na walizokuwa nazo zilikuwa za kizamani zaidi.
Dr. Slaa anapaosema JK ndiye mmiliki wa DOWANS tujue ni kweli
Huu ni upuuzi mtupu. Ridhiwani alikuwa Arusha na alirejea Dar es Salaam siku ya jumatatu tarehe 21 Februari saa 5 asubuhi. Aliondoka hapa usiku wa siku ya alhamisi tarehe 17 Februari, 2011. Mimi nashauri kwamba kama kweli thread hizi hazichochewi na chuki basi zifanyiwe utafiti kabla hazijapostiwa humu. Kwa mfano, aonane na huyo mmanga ili wafanye nini wakati suala hili anayelishughulikia na mmiliki anafahamika? Dunia nzima inajua kwamba dowans ni ya RA sasa unahitaji kukutana na huyu aliyevikwa uhusika ili kitokee kitu gani? Tuache kuzua na hicho kinachoitwa taarifa za kiintelijensia kama zile zilizozua maafa kule Arusha. Mara nyingi huwa ni kivuli cha kuficha uongo na uzushi ili ionekane kuwa kuna uhalisi wa tukio linalotengenezwa.
Ukiunganisha RED na BLUE ni dhahiri kuwa shuhuda hakuwa ndani ya kikao kama kweli kilikuwepo. Sasa hapo kwenye blue, nani alishuhudia kilichozungumzwa ndani ya kikao wakati shuhuda alikuwa nje ya geti?
...this is stupid! maelezo yaliyotolewa ni upuuzi tu, ni kutaka kutwist watu wahame kwenye ajenda za maana na kujadili upumbavvu huu!!!
Bado siamin ka nchi yetu imefikia mahali watu au mtu ankuwa hired kuconfuse watu,tena wengine wako kwny vyombo vya usalama kama tiss..km ni kweli hali iko hivi nchi hii iko pabaya! halafu watu wamecomment kwny habari ya kijinga km hii.
Sikujua kama TANleaks unaweza kuwa muongo kiasi hiki. Hivi hapa unataka kumdanganya nani? Maelezo yako yana walakini mkubwa saaana. Sio vizuri kumzushia mtu jambo la uongo kama unavyofanya kwa Ridhwani. Kama umetumwa basi ni vizuri mukatafute zengwe linaloeleweka, hili hapa bado hujampata mtu. Waliochangia ujinga huu nao hawakuwa na uelewa wa kuhoji au walipangwa kuchangia. Mujihadhari na tabia hizi kwani munajidhalilisha na kuuza utu wenu.
Hatutabishana sana ila wapaswa kukumbuka kwamba ushirika na mwizi? = jibu unalo!Let's assume hayo aliyoandika Tanleaks ni kweli, ingawa yana walakin, kwani ni dhambi au sheria hazimruhusu Rz1 kukutana na Adawi na wakazungumza ya ama biashara ya ama kusoshalaiz?
Hivi huyu Adawi na hii Kampuni ya Dowans imekosa nini? Kuna mtu anaweza kusema kosa lao ni nini?
Au hizo ni chuki na roho mbaya tu? Rizwan akikutana na tajiri yeyote duniani, hakuna kosa analolifanya. Yeye ana life yake, ana biashara zake na Mungu kamjaalia ana jina na nasaba nzuri tu, ya kuwa mtoto wa Rais.
Hivi. Nyinyi hamna watoto zenu wanaojidai kwa kuwa na baba au mama kama nyinyi? Kama ni wahandisi, madaktari, waandishi, vinyozi, madereva, hamuoni sifa watoto zenu wakisema "mimi babangu kinyozi". Sasa kwa nini Rz1 asitumie hayo na kusema "mimi babangu Rais wa JMT"? Kuna kosa hapo?
Wacheni roho za korosho.
Jamani nataka kufahamu utatu uliopo kati ya viongozi waliyopo madarakani,uzao wao wa kwanza esp wa kiume na maamuzi makubwa ya nchi ikiwa ni pamoja na kutengenezewa njia ya utawala baada ya wazazi wao kujitosheleza...turejee ya Tunisia,Misri,Libya na hizi harakati za usemaji wa mambo ya nchi za kina Ridhwan,ambitions za Kina Husein Mwinyi na familia ya Karume kuingia ikulu kwa influence za wazazi wao! Naomba mwongozo!
Ni watu wenye akili tu ndo wanaweza kubaini kuwa hiyo story ni ya uongo.Ukiunganisha RED na BLUE ni dhahiri kuwa shuhuda hakuwa ndani ya kikao kama kweli kilikuwepo. Sasa hapo kwenye blue, nani alishuhudia kilichozungumzwa ndani ya kikao wakati shuhuda alikuwa nje ya geti?