Didn't 8en had grownup sons? K*¥*ake wakwere, nasikia wanauza mashamba ili wakawacheze ngoma mabinti zao!
ha haaaaa ... umenikumbusha kule bagamoyo.. wakwere wanauza mashamba wananunua boda boda
Didn't 8en had grownup sons? K*¥*ake wakwere, nasikia wanauza mashamba ili wakawacheze ngoma mabinti zao!
Kuna thread zinazoawekwa ili wengi wachangie na pengine wana uelewa zaidi wa kukweza kuibua mengi lakini unaona zinafyekwa kabisa. TUKiO LA MMILIKI WA DOWANS KUKATAA KUPIGWA PICHA NI PENGINE KUTOTAKA SIRI FULANI KUFICHUKA. Wachunguzi wa mambo wamegundua kuwa ni mzanzibar mkimbizi. Lakini baada ya kuanzishwa thread hiyo imetolewa na kufichwa mahala tulani sijui mantiki yake.
Rz1 kuwa mwanachama wa CCM sio kosa.
Rz1 kumpigia kampeni babake sio kosa.
Rz1 kupewa escort ya polisi au bodyguards, sio kosa. Ana privileges za kuwa mtoto wa Rais, moja wapo ni kupewa ulinzi wa masaa 24 au kila atapo uhitaji. Na hii si Tanzania tu.
Swala la umeme Tanzania lazima hivi sasa lisimamiwe na Tanesco na kupewa kila aina ya uwezo kuwa na magenerator yake yenyewe pamoja na aina yoyote ile ili iweze kuondokana na ukodishaji wa aina yoyote ile kutoka kwenye makamapuni binafsi. Lazima swala hili ligharimiwe kwa njia zozote zile mikataba yote ya kufua umeme kwa kampuni binafsi isitishwe with immediate effect.
Kwa maana nyingine njia kuu za uchumi wetu lazima ziwe mikononi mwa wananchi wenyewe na sio baadhi ya watu.
Unamjua Mmiliki wa kampuni ya tanesco? Huyo anaeimiliki ndio sasa anafanya maamuzi sisi wengine ni wateja na watumiaji wa huduma hiyo. Ndio maana hatuna uwezo wala ujasiri wa kuiamulia chochote kampauni hii pekee ya umeme Tanzania
Rz1 kuwa mwanachama wa CCM sio kosa.
Rz1 kumpigia kampeni babake sio kosa.
Rz1 kupewa escort ya polisi au bodyguards, sio kosa. Ana privileges za kuwa mtoto wa Rais, moja wapo ni kupewa ulinzi wa masaa 24 au kila atapo uhitaji. Na hii si Tanzania tu.
Katika kikao hicho Rz1 alimhakikishia Al-Adawi kuwa Dowans italipwa na pia itapewa kazi zaidi, huku pia akimuomba ushirikiano katika biashara za sekta ya nishati katika siku zijazo.
HABARI MPYA
Jumapili ya Februari 20, 2011, saa kadhaa baada ya taikuni wa Dowans kukutana na wahariri na kisha kugoma kupigwa picha, taikuni huyo alikuwa na kikao na Rizwan Kikwete. Taarifa zilizotiririka kwa mtindo wa Diplomatic kebo zinaeleza bila shaka kuwa Rz1 alimfata taikuni huyo katika hoteli ya Kempinski majira ya saa tatu usiku na kisha kuongozana naye hadi katika nyumba anayoishi ile inayoaminika kujengwa na mafisadi wa EPA iliyopo Mikocheni jirani na Rose Garden. Kikao hicho kilifanyika hadi saa tano usiku ambapo vijana wetu ambao walikuwa wakivizia nyendo za Al-Adawi walimuona akitoka na RZ1 saa 5:15 na kurejea hotelini kwake.
Katika kikao hicho Rz1 alimhakikishia Al-Adawi kuwa Dowans italipwa na pia itapewa kazi zaidi, huku pia akimuomba ushirikiano katika biashara za sekta ya nishati katika siku zijazo.
Hii itakuwa ni mara ya pili kwa Rz1 kujiingiza katika mkakati wa kuwekeza katika sekta hiyo ikiwa ni baada ya hatua yake ya kwanza kushindwa mwaka 2006 wakati alipoenda kusaka kampuni la kufua umeme toka Ujerumani lakini wataalam wa TANESCO wakalitilia mashaka kwa kuwa lilikuwa halina uwezo wa kuleta mashine zake na walizokuwa nazo zilikuwa za kizamani zaidi.
Let's assume hayo aliyoandika Tanleaks ni kweli, ingawa yana walakin, kwani ni dhambi au sheria hazimruhusu Rz1 kukutana na Adawi na wakazungumza ya ama biashara ya ama kusoshalaiz?
Hivi huyu Adawi na hii Kampuni ya Dowans imekosa nini? Kuna mtu anaweza kusema kosa lao ni nini?
Au hizo ni chuki na roho mbaya tu? Rizwan akikutana na tajiri yeyote duniani, hakuna kosa analolifanya. Yeye ana life yake, ana biashara zake na Mungu kamjaalia ana jina na nasaba nzuri tu, ya kuwa mtoto wa Rais.
Hivi. Nyinyi hamna watoto zenu wanaojidai kwa kuwa na baba au mama kama nyinyi? Kama ni wahandisi, madaktari, waandishi, vinyozi, madereva, hamuoni sifa watoto zenu wakisema "mimi babangu kinyozi". Sasa kwa nini Rz1 asitumie hayo na kusema "mimi babangu Rais wa JMT"? Kuna kosa hapo?
Wacheni roho za korosho.
Utangulizi:
Jana nimeweka thread ya mkutano wa wabunge kadhaa wa Kamati ya Nishati na Madini kisha ikang'olewa kwa kile kilichoelezwa kutojitosheleza. Lakini kile nilichokiandika kikaandikwa na gazeti la Nipashe Feb 24, 2011 katika muundo mwingine: Angalizo langu kwa MoD: Uwe na moyo wa subira hata kwa yale usiyoyapenda:
HABARI MPYA
Jumapili ya Februari 20, 2011, saa kadhaa baada ya taikuni wa Dowans kukutana na wahariri na kisha kugoma kupigwa picha, taikuni huyo alikuwa na kikao na Rizwan Kikwete. Taarifa zilizotiririka kwa mtindo wa Diplomatic kebo zinaeleza bila shaka kuwa Rz1 alimfata taikuni huyo katika hoteli ya Kempinski majira ya saa tatu usiku na kisha kuongozana naye hadi katika nyumba anayoishi ile inayoaminika kujengwa na mafisadi wa EPA iliyopo Mikocheni jirani na Rose Garden. Kikao hicho kilifanyika hadi saa tano usiku ambapo vijana wetu ambao walikuwa wakivizia nyendo za Al-Adawi walimuona akitoka na RZ1 saa 5:15 na kurejea hotelini kwake.
Katika kikao hicho Rz1 alimhakikishia Al-Adawi kuwa Dowans italipwa na pia itapewa kazi zaidi, huku pia akimuomba ushirikiano katika biashara za sekta ya nishati katika siku zijazo.
Hii itakuwa ni mara ya pili kwa Rz1 kujiingiza katika mkakati wa kuwekeza katika sekta hiyo ikiwa ni baada ya hatua yake ya kwanza kushindwa mwaka 2006 wakati alipoenda kusaka kampuni la kufua umeme toka Ujerumani lakini wataalam wa TANESCO wakalitilia mashaka kwa kuwa lilikuwa halina uwezo wa kuleta mashine zake na walizokuwa nazo zilikuwa za kizamani zaidi.
umbeya!
Huu ni upuuzi mtupu. Ridhiwani alikuwa Arusha na alirejea Dar es Salaam siku ya jumatatu tarehe 21 Februari saa 5 asubuhi. Aliondoka hapa usiku wa siku ya alhamisi tarehe 17 Februari, 2011. Mimi nashauri kwamba kama kweli thread hizi hazichochewi na chuki basi zifanyiwe utafiti kabla hazijapostiwa humu. Kwa mfano, aonane na huyo mmanga ili wafanye nini wakati suala hili anayelishughulikia na mmiliki anafahamika? Dunia nzima inajua kwamba dowans ni ya RA sasa unahitaji kukutana na huyu aliyevikwa uhusika ili kitokee kitu gani? Tuache kuzua na hicho kinachoitwa taarifa za kiintelijensia kama zile zilizozua maafa kule Arusha. Mara nyingi huwa ni kivuli cha kuficha uongo na uzushi ili ionekane kuwa kuna uhalisi wa tukio linalotengenezwa.
Safari ya kutoka Arusha hadi Dar for three days?Hata kama alipanda gari moshi bado it wont take that long.Huu ni upuuzi mtupu. Ridhiwani alikuwa Arusha na alirejea Dar es Salaam siku ya jumatatu tarehe 21 Februari saa 5 asubuhi. Aliondoka hapa usiku wa siku ya alhamisi tarehe 17 Februari, 2011. Mimi nashauri kwamba kama kweli thread hizi hazichochewi na chuki basi zifanyiwe utafiti kabla hazijapostiwa humu. Kwa mfano, aonane na huyo mmanga ili wafanye nini wakati suala hili anayelishughulikia na mmiliki anafahamika? Dunia nzima inajua kwamba dowans ni ya RA sasa unahitaji kukutana na huyu aliyevikwa uhusika ili kitokee kitu gani? Tuache kuzua na hicho kinachoitwa taarifa za kiintelijensia kama zile zilizozua maafa kule Arusha. Mara nyingi huwa ni kivuli cha kuficha uongo na uzushi ili ionekane kuwa kuna uhalisi wa tukio linalotengenezwa.