Wana Igunga hawahitaji cv za makaratasi, wanahitaji utendaji wa mtu atakayewatoa kutoka lindi la umaskini. CV zake abandike ukutani mwa chumba chake. Hana lolote la maana kwa jamii. Nafasi zote alizoshika haioneshi amesukuma namna gani maendeleo ya jamii.