Maduka ya Shoprite-Naomba maoni

Wavivu wa kupika utawajua tu. Mke mzima anaenda kununua chakula ambacho kimeshapikwa na wenzie, badala ya kupika mwenyewe nyumbani ili vinukie na mmewe apate hamu ya kula. Kila siku Shoprite-shoprite-shoprite mpaka ugali unanunua shopwrite!!!! mnaniudhi sana.
Unajuaje alikuwa anlienda shopping ya kulisha mwanamme? Mianaume ya mwaka 47 hii, inadhani mke kazi yake u-house girl.

Anyhow, Western companies zikiwa third world zina act kishenzi. Wachina ndio wanawapatia, juzi wamekamata wafanyakazi wa Wallmart across China kwa dharau kama hizi.
 
Hivi kweli, mtu na akili zako timamu, na jinsi masoko ya kuku yalivyojaa hapa Tanzania, unaweza kwenda kununua "vibudu" pale shoprite? Misifa itawaletea matatizo!!
Sifa zinatuuwa sana... Mavyakula ya mle yana susa nzuri machoni si tumboni...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom