Maduka mtaa wa Pangani (Arusha) yanawaka moto

Ciril

JF-Expert Member
Jan 10, 2011
8,558
7,156
Maduka ya mtaa wa Pangani mjini Arusha yanawaka moto huku kukiwa na kikosi kazi cha zimamoto wakijitahidi kuuzima moto huo.Polisi wapo kuhakikisha ulinzi kwa vibaka wowote watakaotaka kupora vitu ktk maduka hayo
 
Habari zaidi tutaendelea kuwajuza kwa mlio mbali kufahamu ni nini kinaendelea juu ya watanzania hawa watakaopata hasara
 
Mtaa wa pangani karibu na Jengo la ccm,habari zaidi kwa wakazi wa Arusha radio five wanaruka hewani kuwahabarisha watu
 
Haya ngoja tusibirie ofisi ya Mafisadi iungue, kwani huyo moto utachukuwa dakika ngapi mpaka kufikia hiyo ofisi ya Magamba?
 
Maduka ya mtaa wa Pangani mjini Arusha yanawaka moto huku kukiwa na kikosi kazi cha zimamoto wakijitahidi kuuzima moto huo.Polisi wapo kuhakikisha ulinzi kwa vibaka wowote watakaotaka kupora vitu ktk maduka hayo
Pole sana makamanda wa A-town kwa Mkasa huo wa Kusikitisha..!
 
Ohh my god,kwangu ni hapo umeme stoo,naomba tu mungu usije ukafika hapo.
 
Back
Top Bottom