Madudu ya Mama Abdallah

usipime zaidi wakati wa ujenzi wa gati za kigamboni huyu mama ndo alikuwa waziri wa ujenzi.

Tembelea Kigamboni upande wa unatoka mjini Dar angalia sehemu zifuatazo:(a) sehemu ya kupumzikia (b) njia za magari (c) njia za baiskeli na pikipiki.

Halafu vuka upande wa pili wa kigamboni kwenyewe angalia kilichofanyika kule linganisha. Pata jibu la wanawake tunaweza. Machozi yatakudondoka.

Sehemu ya kupumzikia abiria wakisubiri kuvuka, njia za magari, baiskeli na pikipiki kitendawili kikuu. MAma FISADI MKUU NA ALIANZA MIAKA MINGI.
 
Angekuwa memba wa JF leo angeona rangi zote. hahahahah
 
Kwanza kabisa nalipongeza sana Bunge letu tukufu kwa kufichua maovu ya mama Anna Abdallah mlafi aliyepitiliza. Mmama huyu tangu aingie kwenye bodi ya korosho, sifa kuu aliyonayo ni kula zaidi kuliko hata Kitwana Kondo.

Ana urafiki wa ajabu sana na huyu Bwana Mudhihiri uliopelekea Anna Abdallah kulipwa posho inayotushangaza hata sisi wafanyikazi .

Ulaji huu umeanza mara baada tu ya serikali kuruhusu (CEL) yaani fedha za mapato ziingie kwenye bodi. Pesa hizi ni Billion 2 ambazo wanazila kwa kuwa na vikao vingi mno kupita kiasi. Hapa mchezo uliopo ni kwamba kila tani 1 ya korosho inayosafirishwa nje, 2% ya mapato hayo ndiyo huletwa kwenye bodi.

Tangu aliyekuwa meneja wa cashew-nut Authority of Tanzania Mr. Mhagama afariki mama huyu Anna Abdallah sasa ana nguvu kama mtendaji.

Ewe Rasi wetu mpendwa J.K Kikwete, chonde chonde, nusuru zao hili na fedha hizi za umma kwa kumteua rasmi mkurugenzi mpya na ikiwezekana huyu mama arudi Nanyumbu akafanye kampeni za UWT maana anakula kupita kiasi, yaani bila hata kunawa!!

Kuona kupapasa.

Ungemsema Dk.slaa hivi watu wangeomba ushahidi na mamods wangeitoa fasta au wangeifungia haraka sana!
 
Ungemsema Dk.slaa hivi watu wangeomba ushahidi na mamods wangeitoa fasta au wangeifungia haraka sana!
Wananchi wenye akili wengi wamechoka na upuuzi wa chama chako tawala..yaani ni bora mwendawazimu kuliko cccm
 
Very true! But kwanini tuendelee kukaa kimya tu? Tuanze na hawa wanaojulikana tayari kwamba ni walaji ili watoke,, hatuwezi kuwanyamazia tu. Huyu mama Anna Abdallah has been in this country's politics for years ni vyema apumzike tu anyways. Hana jipya kabisa zaidi ya kuchumia tumbo kwa sasa

Mkuu mimi nilishangaa alipo tangaza kwamba hatawania tena Ubunge, alafu baadae katumia mbinu za kupitia jumuhia za akina MAMA kurudi tena Bungeni!!!

Kitu kingine kilicho wahi kunishangaza ni pale alipo sema kwamba wakati wa wanawake kuwania cheo cha URAIS bado! Wasubili sijuhi mpaka lini -matamshi haya aliyatoa ili kuwakatisha tamaa wanawake wenzake wasije kuwania URAIS na hivyo kusababisha ushindani mkubwa kati yao na Mh. Mkapa katika uteuzi wa mgombea URAIS ndani ya CCM! Mpaka leo huwa sielewi kama matamushi hayo aliyasema kwa dhati au?
 
Yaani hii nchi hawa viongozi hakuna msafi..Hii bodi ya Korosho nalo ni jipu!!Muheshimiwa Majaliwa na JPM walitumbue tu
 
Naomba JPM atume vijana wake wa Takukuru wapite tu pale Mtwara kwenye board hii na board zingine zenye utata! Tafadhali!!!
 
Naomba JPM atume vijana wake wa Takukuru wapite tu pale Mtwara kwenye board hii na board zingine zenye utata! Tafadhali!!!
Bodies ya korosho imelalamikiwa siku nyingi na wakulima bila malamiko yao kutiliwa maanani
 
Back
Top Bottom