Wanafunzi Zaidi ya 400 waliomaliza stashahada ya Elimu mwaka 2011 hawajapangwa ktk vituo vya kazi na serikali kutokana na digrii inayotolewa hapa chuoni kutotambuliwa na TCU.
Ha ha ha! Afu na viongozi wetu wanaendelea kuwa kimya tu? Afu wakati kinaendelea kuingiza wanafunzi wizara husika ilikuwa hailitambui hilo? Yafaa wawajibishwe wahusika japo ni ngum kwa serikali legelege
Wanafunzi Zaidi ya 400 waliomaliza stashahada ya Elimu mwaka 2011 hawajapangwa ktk vituo vya kazi na serikali kutokana na digrii inayotolewa hapa chuoni kutotambuliwa na TCU.
Chuo kinatambulika ila wanachuo wamepewa BED na masomo mawili ya kufundishia wakati BED inatakiwa kuwa na somo moja la kufundishia.kama vp ingia kwenye web ya wizara hamna hata mwanachuo mmoja aliyepangwa kituo cha kazi.
acha uwongo ww, watu nawajua mbona wemepangiwa vituo vya kazi na wamemaliza mwaka 2011, uzembe uliofanyika hapo chuoni kwenu ni wahusika hawajapeleka majina wizara ya elimu kwa ajili ya kupangiwa, na ndyo maana hata hawa ninao wajua ni wamepangiwa kwa sababu walioaaply wenyewe na siyo kusubiri chuo kitume. View attachment AJIRA MPYA YA WALIMU WA SEKONDARI - SHAHADA 2011-2012 Final.pdf angalia hyo aatchment na uone kama hakuna wamakumira.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.