Mzito Kabwela
JF-Expert Member
- Nov 28, 2009
- 18,857
- 7,615
Askofu Mdegela ambaye amekuwa akilalamikiwa na makundi mbalimbali ya watu kuwa ni MZINZI na MBADHIRIFU WA MALI ZA KANISA ameanza kuumbuka baada ya kubainika KULAZIMISHA mtoto wake wa kumzaa awepo kwenye payroll ya chuo cha tumaini na kupata Mshahara ilhali kijana huyo sio Mwajiriwa wa chuo hicho. Salary slip ya kijana huyo imekamatwa ikionyesha kuwa anapata mshahara wa zaidi ya shilingi 1.2 Milioni.