Madudu Mfuko wa KIKWETE

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
Presidential Trust Fund(PTF) chini ya Rais Jakaya Kikwete
Huu mfuko umegeuka kuwa wa kisiasa badala ya kufanya kazi za kitendaji. Huu mfuko chini ya Dr Chijoriga, waliokopa wanaandamana wafanyakazi wanaandamana wakisema hela hakuna

Je source ya hizi hela zinatoka wapi??
Je hizi hela wanazodai zimeenda kwenye uchaguzi??

Source:TBC 4.08.2010
 
JK ameikuta PTF kaitelekeza, kamteua mama mmoja anaitwa Mary Ibrahim Likwelile kuwa MD. Huyu mama ni failure kwa mambo haya ya fedha, hana Dira, hawezi kufaninikisha chochote. Alifukuzwa kazi somewhere kwenye USA Funded - Community Development NGO.

Cha kushangaza ilikuwaje PTF ikaruhusiwa ku Mobilise savings wakati haijawa regulated na BOT? Hii si ni DECI nyingine ndani ya Ikulu?
 
KURA YA MAONI

Mgombea yupi utampa kura yako ya Urais 2010?
Jakaya Kikwete

7%
Willbrod Slaa

88%
Ibrahim Lipumba

4%
Mutamwega Mugahywa

0%
Hashim Rungwe

1%
Paul Kyara

0%
Christopher Mtikila

1%
Peter Kuga Mziray

0%
Total votes: 339

kura ya maoni

mgombea yupi utampa kura yako ya urais 2010?
Jakaya kikwete

7%
willbrod slaa

88%
ibrahim lipumba

4%
mutamwega mugahywa

0%
hashim rungwe

1%
paul kyara

0%
christopher mtikila

1%
peter kuga mziray

0%
total votes: 339

lets hope so.
 
JK ameikuta PTF kaitelekeza, kamteua mama mmoja anaitwa Mary Ibrahim Likwelile kuwa MD. Huyu mama ni failure kwa mambo haya ya fedha, hana Dira, hawezi kufaninikisha chochote. Alifukuzwa kazi somewhere kwenye USA Funded - Community Development NGO.

Cha kushangaza ilikuwaje PTF ikaruhusiwa ku Mobilise savings wakati haijawa regulated na BOT? Hii si ni DECI nyingine ndani ya Ikulu?

Nina wasiwasi na huu mfuko unaweza kuwa DECI, DECI imeingia ikulu???
 
Wakuu,
Hivi mna habari zozote juu ya nani waliopata yale "mabilioni ya Kikwete"? Kuna habari kwamba wananchi waliuziwa mbuzi kwenye gunia kwa sababu ukiuliza mikoani ni fedha kiduchu sana zilizofika huko kutoka kwenye mfuko huo uliodaiwa ni wa mabilioni.
 
Mbona hatuambiwi yamerejeshwa kiasi gani na ni wajasiriamali wangapi wamepata baada ya kuya revolve hayo mabilioni ya WaTanzania a.k.a Mabilioni ya Kikwete!!!!!!!!!!!
 
Nashangaa hela zenu wenyewe mtu anataka kujitwalia ujiko, eti mabilioni ya JK, kayatoa wapi kama sio kodi zetu?
 
mbona hata mishahara ya wafanyakazi alitangaza kikwete wakati hata waziri wa fedha katika bajeti hakuweka hiyo nyongeza, waziri wa kazi nae hakuweka hiyo nyongeza kaja kuitamka JK wakati anavunja Bunge. hebu fikiri katika taarifa ya jumba la wawakilishi zenji kikwete kachangia 1 bilioni na si serikali ya jamhuri , hii imekaa vizuri kweli?
 
JK ameikuta PTF kaitelekeza, kamteua mama mmoja anaitwa Mary Ibrahim Likwelile kuwa MD. .

Mbona nilisikia kwenye TV moja Dr. Chijoriga ndiye aliyekuwa anatoa maelezo na sio huyo Likwelile? Halafu alisema huo unaitwa tu mfuko wa Rais sasa sijui kama ulikuwa na direct link na Rais aliyeko madarakani au la.
 
huu mfuko una direct link na presadaa maana fundi inatoka ikulu this is ikulu's NGO
 
Hahahha hivi kumbe hata rais anayekuwa madarakani ana mfuko??!!!!!. Wa nini? kwa kazi gani??? Binafsi Nashangaaaa. Nilidhani haya mambo ya mifuko ni majukumu ya kuwakeeep busy wale marais wastaaafu.

Kwangu kabisa naona kuwa na mfuko wa aina chini ya rais ni kosa kubwa .
 
Back
Top Bottom