Madudu mapya sekretarieti ya ajira

Tafakuru

Member
Dec 9, 2011
83
33
Jana mishale ya sa 2 aubui, kulikua na written interview mitaa ya mwembe yanga kupata watumishi wapya wa serikali yetu. Kwa hesabu za makadirio ( ambazo pia zinakubalika), nusu ya walioitwa ndio walofanya usahili huo. Takwimu za uhakika, zinaonesha kati ya watakwimu wa daraja la pili 53 walioitwa, ni 17 tu waliopitishwa kufanya usahili kushindania nafasi ya kufanya oral interview kwa nafasi 10. Kigezo kikubwa kilichotolewa ni kukosa cheti kimoja hasa kile cha degree..
Maswali nnayojiuliza
  • Ilikuaje kuwashortlist, kuwatoa gazetini na kuwapigia sim watu kutoka tanganyika nzima kuja kufanya usahili huku mkijua mliowaita hawakuwa na vigezo kamili???
  • Is transcript not valid for one year???
  • Sheria ya ajira inataka uwiano wa nafasi moja kushindaniwa na watu watatu kwenye oral interview, ss ratio hii mpya ya nafasi moja kwa watu 1.7 imeanza lini ambapo ni kinyume na sheria??
  • Vp ndugu zetu walioajiriwa kwa kutumia transcript kama kula TFNC, waaalimu na wengine lukuki mwaka huu huu???
  • Inamaanisha sisi wahitimu wa chuo kikuu Dar-es-salaam tumetolewa kwenye sokoo la ajira la serikali adi apo mfumo mbovu wa utoaji vyetu utakapo kamilika???
  • Mabosi wenu wanataarifa kamili ya yaliotoke jana mitaa ya maktaba complex kwenye ofisi zenu??
  • Ushauri
  • Tufanye kazi kwa kutumia sheria na si ubabe wa watu wachache. Pindi mnapokosea msiforce issue ila rekebisheni utendaji wenu. Nnanashinikiza sekretarieti ivunjwe au ifumwe upya...

NB;Naombeni mwenye namba au e-mail ya Said Kubenea anisaidie
 
Mkuu sana kwa hayo yaliyokukuta, nafikiri kosa ni kuwaita kwenye ingterview, ila hao jamaa mfumo wao ni huo huo hawaajiri kwa transcript hivyo hiyo huwa inawaangusha sana wahitimu wa UDSM, ni tangu zamani kwa ajira za serikali kuu zinazokuwa coordinated na utumishi..niliwahi kukosa kazi hivihivi mwaka 2005. Ila ukisoma vizuri matangazo yao pia hiyo condition wame bold
 
Back
Top Bottom