Madogo wa mwaka huu mnatisha kwa kufeli

franci

Member
Feb 6, 2012
5
0
hohhohoh........tyityityityi..............:lol:

madogo inasemekana kuwa mmefeli kuluiko miaka yote du! Nooomaaaaa
 
Elimu duni, walimu wasiojaliwa, shule zisizo na walimu wala vifaa vya kufundishia, wanafunzi walichanganyikiwa na utandawazi ulovuka mipaka.

So, yasemwayo yaweza kuwa kweli kabisaa.
 
Umejuaje na inasadikika matokeo yote yameibwa? Au wewe ndo jizi lenyewe?
 
Acha ubinafsi ,so unafurahia matatizo ya wadogo, watoto wetu,
kama mdogo wako au mwanao akifeli utakuja kushangilia hapa?,
 
Yakupasa uweke link ilitupate uhakika....who are u. necta hawajasema we ndo umekuwa msemaji mkuu....acha kututisha bwana kama ni kinyume sema bwana 2congezeane presha coz kufeli c kitu chema mjomba.
 
Wewe mwenyewe inaelekea O level ulifeli ndo maana unachekelea wao kufuata mkondo wako
 
Back
Top Bottom