gracious86
JF-Expert Member
- Mar 25, 2011
- 437
- 54
hellow wadau! Msaada kwa rafiki yangu pls,ana madoa doa maeneo ya kifuani hadi shingoni,kwakweli yamemuharibu sana ukizingatia yeye ni white,so amekua kama kenge! Kajaribu kutumia dawa kama crotrimazole, bio-claire, bt hakuna any improvement! Plz wapenzi wadau kama kuna dawa mnayoifaham, tuambizane! Yani madoa yamekua sugu sasa! Plz help..