Madiwani watano wa CHADEMA Moshi watuhumiwa kwa vitendo vya rushwa

Mie nakwambia hakuna, ukiona hao unaowasema wote wana mzazi mmoja wa kichagga kama si hivyo na wao wameshakuwa zaidi ya wachagga. Hiyo ya kuwa hao wote sijui wapare sijui wahindi, mimi hainiingii akilini kabisa. Kitaifa tu, mmeshasema mnataka Nchi yenu ya Kaskazini, sasa hapo hapo kwenu aje mgeni awe kiongozi wenu? hunambii hata kidogo.
Wakuu achaneni na punguani huyu, gamba original akili finyu ndiyo jadi yao
 
Monday, 11 June 2012
21:02
Mwandishi Wetu, Moshi

TAASISI ya kuzuia na
kupambana na rushwa
(Takukuru) mkoa wa
Kilimanjaro imeingia katika
malumbano na Mbunge wa
Jimbo la Moshi mjini,
Philemon
Ndesamburo.Malumbano
hayo yanatokana na taarifa
zilizozagaa kuwa Takukuru
wamepelekewa majina ya
madiwani watano wa
Chadema wanaotuhumiwa
kujihusisha na vitendo vya
rushwa.

Habari hizo zinadai kuwa madiwani hao wamekuwa
wakishinikiza kutolewa
kwa vibali vya ujenzi na kuruhusu ujenzi holela na
ukarabati wa majengo
chakavu ndani ya mji huo.

Hata hivyo Katibu wa
mbunge huyo, Basil Lema alipoulizwa jana, alikiri
kupewa taarifa ya
Takukuru kupelekewa
majina lakini anashangaa
taasisi hiyo kutochukua
hatua.

“Mimi na mheshimiwa
Ndesamburo tulikwenda
kuonana na kamanda wa Takukuru juu ya jambo hilo ambalo kimsingi linakipaka
matope chama bila
sababu,” alisema Lema.

Lema alisema katika
mazungumzo yao, Lema alimkariri Kamanda huyo
akikiri kuwa na majina ya
madiwani hao na kwamba wanatuhumiwa kushinikiza
utoaji wa vibali vya ujenzi.

“Hoja ya Ndesamburo ni kuwa mwenye mamlaka
kisheria kutoa vibali ni mkurugenzi kwa hiyo mwisho wa siku kama vipo
vibali jambo hilo linarudi kwa mkurugenzi,” alisema.

Lema alisema anaongea
kwa niaba ya mbunge
huyo, alisema kama wapo
madiwani wanaotuhumiwa
katika kashfa hiyo
washtakiwe kama watu binafsi bila kuhusisha
chama.
Hata hivyo kamanda wa Takukuru, Lawrence Swema alipohojiwa jana
alisema hajawahi kupokea majina ya madiwani hao
licha ya kumtaka
Ndesamburo ampelekee
majina hayo.

Swema alisema tangu
Ndesamburo na Lema
wafike ofisini kwake na kuwataka walete ushahidi wa majengo yaliyotolewa
vibali, hadi jana walikuwa
hawajarudi ofisini kwake.
Lema alipoulizwa kwa mara ya pili kuhusu msimamo huo wa Takukuru, alisema wao hawakwenda kupeleka majina bali kupata ufafanuzi wa kuwapo kwa majina hayo.

MWANANCHI
 
Mie nakwambia hakuna, ukiona hao unaowasema wote wana mzazi mmoja wa kichagga kama si hivyo na wao wameshakuwa zaidi ya wachagga. Hiyo ya kuwa hao wote sijui wapare sijui wahindi, mimi hainiingii akilini kabisa. Kitaifa tu, mmeshasema mnataka Nchi yenu ya Kaskazini, sasa hapo hapo kwenu aje mgeni awe kiongozi wenu? hunambii hata kidogo.

nawewe nenda msanga ukalime minaz uvune madafu then mtoane busha si ndio fani yenu kutoana mishipa
 
Mlitegemea nini kutoka kwa wachagga? tazama TRA ilivyo, wanakula rushwa waziwazi, lakini kwa kuwa majority ni wao kwa wao, wanalindana.
mpuuzi wewe,unabwatuka tu kama umesetiwa,hiyo inahusiana nini na wachaga.mwehu kabisa.
 
Wakuu achaneni na punguani huyu, gamba original akili finyu ndiyo jadi yao

Unapokosa hoja acha viroja. Magamba yaliyopitwa na wakati yanajivua yenyewe, usiwe na shaka kwa hilo. Tunavaa Uzalendo.
 
Mlitegemea nini kutoka kwa wachagga? tazama TRA ilivyo, wanakula rushwa waziwazi, lakini kwa kuwa majority ni wao kwa wao, wanalindana.
Ujiga wako ndio matope kwa chama chako.

the only institution that does not change is graveyard.......

Hasira yako towards chaggas (whom you claim they run TRA - a state revenue collector machinery) will actually kill you one day, Chaggas know no boundaries, they are everywhere in all walks of life. Makabila yote waliyokutana nayo yamewakaribisha, wameoa na kuolewa na makabila mengine. Maisha yanaendelea.

Unachojaribu kufanya kuonyesha wachaga ni wabaya ni aina ya siasa za WASIRA the jungle freak na Mukama. Hazikisaidii chama chako.

It is obvious wewe ni pumpkin head....kufikiri madiwani wa mji/mkoa fulani watakuwa wa kabila fulani...
What a dump!!!!
 
Unapokosa hoja acha viroja. Magamba yaliyopitwa na wakati yanajivua yenyewe, usiwe na shaka kwa hilo. Tunavaa Uzalendo.
Huyu ndo kiboko yenu....Mkimsikia mnajinyea nyea tu!!!
Alimwambia mwenyekiti wako, ndiye aliyeiingiza Richmond.....kama mwenyekiti wa chama chako ni mwanaume amjibu basi!!!

MTANZANIA+10.JPG
 
Huyu ndo kiboko yenu....Mkimsikia mnajinyea nyea tu!!!
Alimwambia mwenyekiti wako, ndiye aliyeiingiza Richmond.....kama mwenyekiti wa chama chako ni mwanaume amjibu basi!!!

MTANZANIA+10.JPG

Huyu ni Waziri wetu Mkuu Mstaafu, tunampenda na tunamheshim sana na tunamuombea afya njema ili aje kushika usukani 2015.
 
Ujiga wako ndio matope kwa chama chako.

the only institution that does not change is graveyard.......

Hasira yako towards chaggas (whom you claim they run TRA - a state revenue collector machinery) will actually kill you one day, Chaggas know no boundaries, they are everywhere in all walks of life. Makabila yote waliyokutana nayo yamewakaribisha, wameoa na kuolewa na makabila mengine. Maisha yanaendelea.

Unachojaribu kufanya kuonyesha wachaga ni wabaya ni aina ya siasa za WASIRA the jungle freak na Mukama. Hazikisaidii chama chako.

It is obvious wewe ni pumpkin head....kufikiri madiwani wa mji/mkoa fulani watakuwa wa kabila fulani...
What a dump!!!!

Umeshatazama uwiano wa viti vya upendeleo vya Ubunge Chadema.
 
Mlitegemea nini kutoka kwa wachagga? tazama TRA ilivyo, wanakula rushwa waziwazi, lakini kwa kuwa majority ni wao kwa wao, wanalindana.
zomba acha ushabiki wa kijinga bana, hujaelewa waliopeleka taarifa takukuru ni chadema, waliofuatilia kwanini hatua hazichukuliwi kama kweli kuna hizo tuhuma ni chadema, kwahiyo shida yako nini?
 
Huyu ndo kiboko yenu....Mkimsikia mnajinyea nyea tu!!!
Alimwambia mwenyekiti wako, ndiye aliyeiingiza Richmond.....kama mwenyekiti wa chama chako ni mwanaume amjibu basi!!!

MTANZANIA+10.JPG

Nasikia huyu jamaa ndiyo kiongozi wa bokoharamu ya ccm!
 
Ama kweli TZ ni zaidi ya uijuavyo,kama hao madiwani wamekamatwa kwanini TAKUKURU hawafanyi kazi yao,,au ndoo majina yamepelekwa na Magamba kwa kukipaka chadema matope kisha hawana ushahidi,,mimi nashauri kama TAKUKURU hawatafanya kazi yaobasi hao madiwani wawatafute waliotoa habari ndani ya gazeti ya mwananchi ili wawafungulie mashitaka ya kuwadhalilisha.
 
Hivi diwani anahusika vp na uotoaji vibari vya ujenzi hadi apate mwenya wa kuomba rushwa kwa mambo yanayo husiana na ujenzi? Msada tafadhari mm sielewi.
 
Mlitegemea nini kutoka kwa wachagga? tazama TRA ilivyo, wanakula rushwa waziwazi, lakini kwa kuwa majority ni wao kwa wao, wanalindana.

mbona unafanya mambo ya kitoto? Sasa uchagga umeingiaje hapo kwenye tuhuma.

Habari yenyewe ya kidaku.
 
Back
Top Bottom