Ritz
JF-Expert Member
- Jan 1, 2011
- 46,923
- 32,336
Wanabodi.
Ile kesi ya kupinga kufukuzwa uanachama waliokuwa madiwani wa Chadema katika jiji la Arusha inatarajia kutajwa kwa mara ya kwanza Janaury 19 mwaka huu mbele ya Jaji Fatuma Massengi, wa mahakama Kuu kanda ya Arusha.
Habari ambazo zimethibitishwa jana na katibu wa Madiwani hao, John Bayo, zimebainisha kuwa kesi hiyo imefikishwa Mahakama Kuu na madiwani hao kupinga kutupwa kwa kesi yao katika mahakama ya hakimu mkazi mkoani Arusha..
Madiwani hao walifungua kesi hiyo ni.
Aliekuwa Naibu Meya, Estomii mallah (Kimandolu), John Bayo (Elerai), Ruben Ngowi (Themi), Rehema Mohamedi (Viti Maalumu), na Charles Mpanda (Kaloleni)
Mambo bado magumu sakata la Meya Arusha.