Madiwani wa CHADEMA kata ya Kitangiri na Igoma wanyang'anywa kadi za uanachama

Aliposema NAPE , vyama vya upinzani vijiwekeze katika kutafuta wanachama wapya, watu wakamzomea, wenye akili

waliielewa ile kauli vyema.
 
MTOA MADA UMEELEZA DIZAINI KAMA UNAMPONDA KIJANA MCHAPAKAZ CHAGULANI,UKWELI SIO HUO UKWELI NI KUA UONGOZ WA JUU WA CDM MWANZA MEANING WENJE NA MAYOR UNA MATATIZO. KIJANA NI VICTIM IN OL DIS. BAADA YA KUGUNDUA WIZI NA UBADHILIFU MKUBWA WA FEDHA ZA UJENZI WA ZAHANATI MOJA(HILO NA MAMBO MENGI YALIYOPINDISHWA PINDISHWA) ALIAMUA KUCHUKUA HATUA NA KUELEZA KUTOKUA NA IMANI NA UONGOZI HUO NA KUAMUA KUTAFUTA MADIWAN WENGINE WASIOKUA NA IMANI NA UONGOZ WA JUU,NDIPO ALIPOANZA KUPATA VITISHO NA MAONYO KUKAA PEMBENI(alieleza hayo kwenye kikao chake cha mwisho) ALIPOENDELEA NDIPO UONGOZ ULIPOCHUKUA HATUA ZA KUWANYANG،ANYA KADI. INAVYOONEKANA WENJE,MAYOR NA UNGOZ MZIMA WA CDM MWZ KUNA TATIZO KUBWA (i.e WIZI) Facebook
 
Nakubaliana na wewe kuwa CCM ndiko kunakomfaa huyu diwani. Kinachouwa CCM ni kukosa ujasiri wa kufanya maamuzi magumu. Na la kushangaza sasa hivi CCM wanatamba kuwa ndicho chama kinachoruhusu demokrasia! Yaani unaacha kuwachukulia watu wanaokwenda kinyume na maadili ya chama hatua kwa visingizio vya demokrasia! Au unaacha kufukuza watu wazembe (soma report ya CAG) kwa sababu ya demokrasia? Wanachofanya CHADEMA ndicho kinatakiwa kwa hapa tulipofikia Tanzania. Mijadala hakuna.

Kula like yangu!!
 
Mfukuzeni shibuda mbona mnamuogopa kama kweli nyie ni watu wa maamuzi!
 
Cdm hakimfai tunamkaribisha ccm.Sidhan kama ni solution cdm kuendelea kufukuza wanachama,inaonesha ni watu wanaokurupuka,kwan hawana kamati ya maadili ya chama ambapo mwanachama anapokosea anawekwa kitimoto.Hawa jamaa tukiwapa nchi tutaingia machafukon coz chama hakijaiva kukamata dola, kama tu mtu mmoja ndan ya chama tena diwan anaweza kuyumbisha kiasi hicho,hiki ni chama cha watu wa kasikazin tuwaachie wenyewe.

Kamshauri hvyo mamako na babako.Sisi wasukuma cdm ndo chama kubwa linalojali kero zetu
 
Mkuu Kimbunga huyu Diwani Henry Matata wa Kitangiri Mwanza si ndio mwenye Magnum Hotel?

Ndio yeye kabisa ila jamaa anamaskendo kabla hajawa diwana jina la chadema lilimbeba kwanza alinyimwa kura za maoni ccm akahamia chadema akapata udiwani
 
Last edited by a moderator:
Makao makuu ya CDM mna taarifa kuhusu hili sakata,mkiruhusu migogoro kama hii yatakuja kuwakuta yale ya CUF kinachotakiwa ni macho kwa macho
 
Adamu bado kijana mdogo sana inapofika mambo ya kujadili kwa kina, anadhani nguvu ya hoja itasaidia. Mtu yeyote kwa sababu yoyote kama ataungana na CCM amechagua kifo kisiasa, hiyo ndio principle ya leo. Adamu halijui hilo??? Kama meya wetu na CDM inahujumiwa na CCM eti ionekane ameshindwa kuongoza ni jukumu la msomi Adam kuichachafya CCM wala sio kuungana nao.

Hatuna CDM utaratibu wa chinichini, awaambie wazi kuwa wanamhujumu meya, ana tutamuunga mkono lakini sio ampige chini meya wetu, labda mwanza iwe yake sio ya wanamwanza. Tulikaa getini mpaka masha akaisha hakuna mtu tena wa kutuzuia kuleta mageuzi.

Adam ajue safari ya ukombozi ni ndefu na inavikwazo vingi; achague kushiriki kuondoa vikwazo sio kuondoa viongozi wa ukombozi.
 
Nakubaliana na wewe kuwa CCM ndiko kunakomfaa huyu diwani. Kinachouwa CCM ni kukosa ujasiri wa kufanya maamuzi magumu. Na la kushangaza sasa hivi CCM wanatamba kuwa ndicho chama kinachoruhusu demokrasia! Yaani unaacha kuwachukulia watu wanaokwenda kinyume na maadili ya chama hatua kwa visingizio vya demokrasia! Au unaacha kufukuza watu wazembe (soma report ya CAG) kwa sababu ya demokrasia? Wanachofanya CHADEMA ndicho kinatakiwa kwa hapa tulipofikia Tanzania. Mijadala hakuna.

...chadema ni chama kibaya kuliko chochote maana anayesema ukweli kakosea,mbona mbowe aliuzia chama magari chakavu? zitto alipooji mkataka kumfukuza mkaona itakula kula kwenu,mfukuzeni zitto au chibuda muone chama chenu cha wachaga kitakaposambaratika
 
Chagulani, Adams ni BAED Kiswahili, yaani mwalimu wa kiswahili. Ukimwaona mjuaji juazi ni zile kiswahili ndo taalum yake hapa duniani; Tumpe nafasi aongee, tahadhari tu kwamba asije jikwaa kisiasa maana pia bado mchanga mno kisiasa na kiumri 26/27yrs

Kweli nimeamini CDM ni chama cha watu wachache na wasiotaka kupingwa kwa lolote hata kama ni baya na halina maslahi kwa taifa.Kwa hali hii sisi wananchi tumejifunza na kugundua kuwa CDM hakifai kupewa madaraka ya kuongoza nchi hii na niwaomba watanzania waache kushabikia biashara haramu zinazofanyika ndani ya chadema.Taarifa ya habri ya Star Tv imeonyesha vizuri sana jinsi kijana ambaye ni Diwani alivyokuwa anasimamia na kutaka mafanikio/maendeleo ya wananchi waliompigia kura, kumbe mabwana wakubwa walichukia kwa kuwa anaengoza halmashauri ni meya wa chadema hivyo kumuona kijana msaliti.Nawashauri wana Mwanza kuachana na ushabiki wa hiki chama na kuchagua CCM ili wapate maendeleo bila kuwekeana mizengwe.Mwaka 2015 majimbo yote yatarudi CCM kwani sijaona Wenje na wengine na hata Lema wa Arusha alikuwa anachochea migogoro utafikili waliomchagua wamemtuma akachochee migogoro isiyo na tija.
 
mkuu no offence but hata kama m2 anatumia masaburi yake anayoyakalia kufikiria badala ya akili zake hawez kuamini kua maendeleo yaliyoshindwa kuletwa miaka zaidi ya 40 yataletwa 2015. Ukiweka maswala ya vyama kando na ku2mia akili japo kidogo utaona kinachohitajika ni mabadiliko,iwe CDM o whatever but change is needed this time. Au we unpendezwa na siasa za hao unaowapigia debe ilihali maisha yako yamejawa matatizo chungu nzima. ANYWAYS NMECKIA ADAM ANAFANYA MKUTANO LEO 2TACKIA ANACHOSEMA
 
Swala la utendaji wa meya hilo nawaunga mkono maana tokea mwanzo baada ya kuchaguliwa kuwa meya alishindwa kuwatetea wananchi ambao ndo wapiga kura badala yake akawa anakula sahani moja na mkurungenzi hasa kwenye swala la machinga mpaka uongozi wa juu wa chama ulipompa kalipio kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye viwanja vya furahisha chini ya dr slaa,lakini swala la kuwanyaganya kadi nafikiri tunahitaji kukaa chini kama chama tuone hii timua timua itaisha lini maana huu ndo muda muwafaka wa kujipanga kama chama mi nafikiri kuna baadhi ya makosa ni changamoto ya demokrasia wala cyo makosa ya kumfanya mtu anyanganywe kadi,nafikiri kama wamenyanganywa kadi kisa kuhoji utendaji wa meya nafikiri suluhisho ni kuangalia kama hoja zao zina mantiki na cyo kutimuana na kunyanganyana kadi
 
cdm bado hawajaiva kushika majikumu makubwa km utawala wa nchi. Bd wanajifunza. Wakiwa tayari, time will tell
 
Back
Top Bottom