Madiwani wa CHADEMA kata ya Kitangiri na Igoma wanyang'anywa kadi za uanachama

Wapuuzi wote waanze kujiengua CDM hatunaga tamaa ajabu ajabu,ati mumkwamishe mwenzenu ili ionekane hafanyi kazi? pambafu zenu kabisa.
 
uchafu ni uchafu tu hata kama itakuwaje kama wanaleta za ccm fukuzeni wakae kwenye ccm wala sio CDM
 
cdm sasa wanaanza kupotoka kwani ni lazima uruhusu mawazo tofauti mkishakuwa watu zaidi ya wawili bila hvyo ina maana mbili eitha wote wanafiki or mna mfumo moja wa fikra whch is wrong..
 
Haki ya mama,huyu jamaa wa Igoma kaanza upuuzi wake huo siku nyingi na sio siri,anataka kumpindua Mh.Wenje Wa Nyamagana,na sasa anatumiwa na magamba ya mwanza.We dogo,elimu yako mzuri,unajua kujiadress,Matata ni tofauti sana na wewe,utapotea kabisa ktk siasa.

hakika unamfaham vizuri huyu dogo, hakika ndiye. Ni mwanasiasa kijana na maridad anajua kujenga hoja kwa umaridad sana lakn tatzo anajfanya anajua kila kitu(much know), hashaurik, anaongea na wakubwa wake ndan ya chadema mkoa kama wadogo zake, kiongoz anayekuja igoma kuongea na raia hadi amtaarifu yeye na kupata ruhusa toka kwake la sivyo dogo ataitsha mkutano wa hadhara na kuanza kumshambulia kiongoz huyo mbele ya raia kwamba kwa nn hajazngatia itfak ya kuongea na wapiga kura wake bila ya ruhusa yake? Hiyo imetokea kwa meya, wenje mb na mshumbusi(katbu wa chama mkoa)
 
Kumbe Chagulani ni la kuvunda??

Zitto alimsaidia kuchangisha Mil 17 juzijuzi!

Waangalie asije potea nazo!
 
Cdm hakimfai tunamkaribisha ccm.Sidhan kama ni solution cdm kuendelea kufukuza wanachama,inaonesha ni watu wanaokurupuka,kwan hawana kamati ya maadili ya chama ambapo mwanachama anapokosea anawekwa kitimoto.Hawa jamaa tukiwapa nchi tutaingia machafukon coz chama hakijaiva kukamata dola, kama tu mtu mmoja ndan ya chama tena diwan anaweza kuyumbisha kiasi hicho,hiki ni chama cha watu wa kasikazin tuwaachie wenyewe.

Kuna wengi tu wa kufgukuzwa CDM, yaani waliokaa kifisadiccm, hawafai, watafukuzwa tu. Hukuna mchezomchezo CDM. Kama wanataka kuchezacheza waende CCM.
 
Cdm hakimfai tunamkaribisha ccm.Sidhan kama ni solution cdm kuendelea kufukuza wanachama,inaonesha ni watu wanaokurupuka,kwan hawana kamati ya maadili ya chama ambapo mwanachama anapokosea anawekwa kitimoto.Hawa jamaa tukiwapa nchi tutaingia machafukon coz chama hakijaiva kukamata dola, kama tu mtu mmoja ndan ya chama tena diwan anaweza kuyumbisha kiasi hicho,hiki ni chama cha watu wa kasikazin tuwaachie wenyewe.

Wanapewa uongozi wa Serikali ya Mtaa wanakula masikio ya watu "live", fikiria wakipewa nchi? atakaewapa kura za uongozi wa nchi chadema huyo ni punguani.
 
Kuna wengi tu wa kufgukuzwa CDM, yaani waliokaa kifisadiccm, hawafai, watafukuzwa tu. Hukuna mchezomchezo CDM. Kama wanataka kuchezacheza waende CCM.

Mbona wanaolipa kifisadi (fedha za walipa kodi) walinzi wa kanisa na hausugeli wa my gelifrendi hawafukuzwi?
 
Nimekuwa nikijaribu kutafakari kuhusu umakini wa kuteua viongozi wa cdm, katibu wa wilaya moja mwanza kamng'ata mtu sikio kwakunyimwa chumba gesti, geita wametimuana, sengerema pia, madiwani A town, Nassari nae katoa kauli ikapingwa na mwenyekiti right away, msibani kwa regia pia, nahisi kamati kuuhaichuji majina vizuri matokeo yake wanWeka watu wasio safi, mwisho wa siku kila kitu kitaharibika
 
Chadema hawana shukurani leo Matata ana thamani tena wakati ndio kaijenga Chadema Mwanza, huyu dogo mwingine wa Igoma nae kafukuzwa?

Nakuomba ueleze shukrani moja tu iliyotolewa na CCM kwa wananchi tunavyopigika na Maisha Duni Kwa Kila Mtanzania
 
Yah Henry Matata, kama ni kweli amevuliwa ni sahihi, sababu historia yake hafai kuwa kiongozi ktk ngazi yoyote ile, ila alishinda udiwani kwa sababu aligombea kupitia CHADEMA, hivyo sababu wananchi walisha sema hawaitaki CCM, hivyo hawakuwa na mbadala wa kuchagua diwani mwingine kutoka chama kingine isipokuwa CHADEMA, sababu jamaa kama yeye binafsi hakuna anayeweza kumpigia kura.

Hii sasa ndiyo shida ya CDM kwamba wana viongozi wasiofaa wanachaguliwa tu eti kwa kuwa watu wameichoka CCM! Hii ni hatari kubwa kama CDM wakipew dola. Huenda tukapat viongozi ambao hawafai kama huyo matata!
 
Hiyo imetokana na mvutano uliokuwepo katika vikao vya halimashauri ya jiji la Mwanza ambapo diwani huyo (wa Igoma na mwenzake wa Kitangiri) pamoja na madiwani wengine kutoka CCM waliungana kujaribu kumng'oa Meya wa jiji (kutoka CHADEMA) kwa madai kuwa anaonyesha udhaifu mkubwa wa kuliongoza jiji.

Inahisiwa ni kutokana na majeraha aliyopata diwani huyo kijana na msomi pekee wa ngazi ya degree kati ya madiwani wote wa halmashauri ya jiji la Mwanza ya kuukosa umeya mwaka 2010.

Taarifa kamili zitatolewa na viongozi wa CHADEMA kitaifa.
mimi huyo dogo nlikua campaigna wake(diwani w\a igoma)..lakini dogo 4 sure anayo dharau ya hali ya juu,,sisi tulimsaidia coz tuliona anastahili kutuongoza ila cha kushangaza ndani ya wiki moja alitangaza nia ya kua meya wa jiji la mwz ili hali kila mtu alimuona baaado hajatosha kwa wadhifa huo,,sio kwaajili ya umri wake NO NO NO NO...NIMROPOKAJI SANA...sio kwakua anatuchefua wana chadema ths tyme???NO NO NO NO ...DOGO HATULII SEHEMU MOJA...AKA BADO NI MTAFTAJI TENA KWA SPEED KALI...
SO BAADA YA ISUE YA UDIWANI KUPITA DOGO AKAENDELEA NA MOVEMENT ZAKE SASA ANAUTAKA UBUNGE....UBUNGE WENYEWE WA MH. WENJE KIPENZI CHETU MWZ......DUUUUUHHHH LIKANUKA NA DOGO AKAWA ADUI WA WANA MWANZA...BALAAAA....SASA SKENDO YA SASA NI 2ND OR 3RD ISUE KWANI DOGO NA MH.SHIBUDA NO TOFAUTI NA DOGO KUNA UMATAMATE INASEMEKANA ALISHAKULA TOKA MAGAMBA KUDHOOFISHA M4C MWZ THOUGH AMEKUTANA NA UKUTA MREEEFU ASOWEZA KUUPANA SASA ELE KASHAKULA ATAFANYA NINI??????TO HELL.....DOGO HANA NAMNA ATOSWE TU CHADEMA KWANI ALIDHANI ANAPENDWA BUT IKAWA TOFAUTI KWANI HAYUPO AMPENDAE KWANI CDM INAWENYEWE WAZALENDO WA UKWELI
MIMI HAPA SINA KADI YA CDM BUT NALIPENDA DUDE NA HVI KARIBUNI NTATANGAZA NIA..........
 
Mbali na hayo yote yanayosemwa.....ni dhahiri meya wa jiji la mwanza hafai kuongoza jiji lenye changamoto kama mwanza hata wabunge wa ilemela na nyamagana wanajua.....to be honest,anatakiwa kuondolewa....kushindwa kuwa na maamuzi kama meya na kuyumbishwa na mkurugenzi,haya yatawagharimu CHADEMA.
Meya alikuwa CCM na kurudi CCM haimpi shida kama Shibuda....kama chama wafanye action research kabla ya kuwatimua hao madiwani.
 
Back
Top Bottom