Madiwani wa chadema arusha wamgomea Meya

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Katika kuonyesha msisitizo,leo katika kikao cha madiwani manispaa ya arusha madiwani wa chadema wametoka nje ya kikao,kusisitiza kutomtambua Meya
sasa hivi wanafanya press conference
 
Mafisadi yatakoma mwaka huu, na hivi umeme umeyashinda yanabwia hela zetu kama mambwa mwitu yanavyokula mzoga shame on u ccm!!
 
msimamo umebaki kutomtambua meya,na dc amekubali kuanzisha mazungumzo ya kutatua mgogoro.Katika kikao cha ndani kati ya dc na madiwani dc amekubali kuwa kuna tatizo na anaomba kuwa msuluhishi,katika hilo chadema wamekubali ila kwa wakati huo meya hatatambulika
 
kikosi cha anga kiko kazini,kikosi cha majini kiko gado kikosi cha mizinga kama kawa,kikosi cha miguu kipo kooni mwa mwa adui yaani ni operesheni chakaza kila mahali hakuna kulala mpaka fisadi anyooshe mikono.
\]peopleeezzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
SAAAAFI SANA. Mpaka kieleweke. INGEKUWA NI HAKI YASINGETOKEA. Chadema fungua TV station yenu. Nadhani habari zake zitakuwa absolute. TBC wataichakachua hii habari
 
Hata CUF walisusia vikao vya Baraza la Wawakilishi lakini mwisho wakachemka, wananchi wamewatuma wawawakilishe ili kuwaletea maendeleo. Sasa kama wao vikao vya maendeleo vinafanyika mnatoka nje na mahakamani hamtaki kwenda, wanaoumia ni wananchi waliowapa kura, next time watajiuliza mara mbili kama wawachague au lah! Hoja hupingwa kwa hoja na si rungu!
 
Justice delayed is justice dinied, hakuna tena haja ya kumwonea huruma huyo Meya Feki. Mpaka kieleweke, kama waziri mkuu anaona ni swala la masihara ataelewa. Na wewe meya feki jiudhulu mara moja, huoni haya.
 
hii ni bomba sana madiwani wa chadema kazeni buti huyo meya mpaka atoke,ccm arusha kunani???????????????????????jamani wa jameni huyo meya ni GAUDENCE LYIMO AU NI MWINGINE KWA SABABU NIMETOKA HUKO SIKU NYINGI NIPO NJE YA NCHI WAJAMENI,KAMA NI GAUDENCE TAFADHALI ACHIA ARUSHA YETU WE DONT NEED CLASHES,CHADEMA ALUUUUUUUUUUUUUTAA.............................MPAKA MAFISADI WAJUTE KUTUFAHAMU.BIG UP CHADEMA ARUSHA:msela:
 
peoplezzzzzzzzzzz power in action, we wont sleep until the nation is declared free of majangili na mafisadiz.
peoplez power we are together until the end!!! if possible, we protest like TUNISIA AND EQYPT!!! tutawang'oa very soon!
mafisadi kaeni chonjo peoplez power itawatoa macho
 
Back
Top Bottom