Madiwani wa CHADEMA Arusha wamfukuza mkurugenzi wa TAMISEMI

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Katika semina elekezi,madiwani wa chadema waibana serikali,kuanzia mkurugenzi tamisemi,RC,DC wakishinikiza ufafanuzi juu ya uchaguzi wa meya.Katika hali ya msisitizo wamemfukuza mkurugenzi wa tamisemi,na msimamo wao ni kutomtambua meya.
Hadi kieleweke
 
PEOPLEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE'S POWEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEER!:clap2:
 
Waanze kazi ya kuwatumikia wananchi,manake hawshindwi fika 2015 wakigomea Meya na kusema ndo sababu ya kutotimiza ahadi zao kwa wananchi.....:coffee:
 
naimani arusha ndiyo itakua mkoa wa kuikomboa nchi ye2..nashkuru madiwani wote..na mwenyekiti wao john bayo...pongez zangu tena
 
katika msuguano huu utekelezaji wa majukumu yao kwa wananch unawezekana kwa kias gani? hl ndilo la msingi zaidi ya yote
 
hapo safi sanaaaaaaaaaa! maana ccm haina jipya yote ya kuzimu tu kila kukicha:clap2:
 
Waanze kazi ya kuwatumikia wananchi,manake hawshindwi fika 2015 wakigomea Meya na kusema ndo sababu ya kutotimiza ahadi zao kwa wananchi.....:coffee:
Hapo

No justice without righteousness. No peoples service without righteousness. Ndio maana tulimfukuza mkoloni. Mandela didint do the way you are sugesting with due respect madam.
 
Tunapongeza hatua hiyo, lakini ni muhimu kujua ya kuwa wananchi wanahitaji maendeleo. Chadema wanahitaji kufanya yale ambayo wamewaahidi wananchi. Kama kesi waifungue mahakamani na waendelee kuwafanyia kazi wananchi. Hata mahakama za Arusha zinajua haki iko wapi. Ni muhimu sana sasa madiwani na mbunge wao wa Arusha wakaanza kazi ya kutimiza ahadi zote za CDM kwa wana wa Arusha. Mungu Ibariki Tanzania, Mungu Ibariki Arusha.
 
Maendelo yanawezekana kama haki imetendeka. Hakuna haki hakuna maendeleo. Nasema kweli hakutakuwa na maendeleo yoyote kama Chadema watamkubali meya wa Arusha, ni bora wapate haki kwa wiki mbili na wawatumikie wananchi kwa wiki moja kuliko kufanyia kazi unachoshauri.
 
Katika semina elekezi,madiwani wa chadema waibana serikali,kuanzia mkurugenzi tamisemi,RC,DC wakishinikiza ufafanuzi juu ya uchaguzi wa meya.Katika hali ya msisitizo wamemfukuza mkurugenzi wa tamisemi,na msimamo wao ni kutomtambua meya.
Hadi kieleweke

Watamfukuzaje Mkurugenzi wa TAMISEMI wakati wao siyo mamlaka iliyomwajiri?
 
Katika semina elekezi,madiwani wa chadema waibana serikali,kuanzia mkurugenzi tamisemi,RC,DC wakishinikiza ufafanuzi juu ya uchaguzi wa meya.Katika hali ya msisitizo wamemfukuza mkurugenzi wa tamisemi,na msimamo wao ni kutomtambua meya.
Hadi kieleweke
Hiyo nzuri wafunge mlango wake kama walivyo wahi kufanya karatu hadi atakapoletwa mwingine.
 
Hapo

No justice without righteousness. No peoples service without righteousness. Ndio maana tulimfukuza mkoloni. Mandela didint do the way you are sugesting with due respect madam.

Am not Mandela.....we do not think the same....am Michelle he is Mandela.....we differ in opinions.....:coffee:
 
ccm watakiona moto mwaka huu!!! walizoea vya kunyongaeee wametufisadi sana NA VITEGA UCHUMI VYA MANISPAA VIMEKUA MALI YAO SASA NI MWISHO yanayoendelea moshi lazima yaendelee arusha pia tumechoka na ufisadi wao........................
 
Back
Top Bottom