MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wamegomea kikao cha Baraza la Madiwani kwa kile walichoeleza kuwa ni kupinga kupewa makabrasha ya mkutano siku moja kabla ya kikao.
Wakizungumza baada ya Meya wa Manispaa hiyo, Bakari Beji kufungua kikao hicho, madiwani hao wa CCM walisema kuwa kitendo cha kuwapa makabrasha hayo muda mfupi yana lengo la kuwafanya wasipate muda wa kutosha kupitia kwa kina taarifa mbalimbali zilizomo kwenye makabrasha hayo.
My take:
Imekuwa kawaida kwa vyama vya upinzani hasa Chadema kususia vikao vya Mabaraza ya madiwani leo imetokea kwa CCM mtenda akitendwa kaonewa.