Ofisi za CCM mahala popote pale ni za wananchi kwa sababu zilijengwa kwa nguvu za wananchi nikiwemo mimi hivo 2015 tunazirudishaAti ni kweli CCM wanatafuta mnunuzi wa jengo lao Arusha? Jamani wanaCDM tuchange tulinunue. CCM bye bye.
Mie siamini mpaka hiyo kesho ifike!!!
Hawa wa Monduli kuhamia CDM wanaletwa na EL au wanakuja kwa mapenzi yao au wametangulizwa? nisaidieni wanajf
WanaJF kuna kitu sijaelewa, nimesikia huko geita madiwani wa ccm wamehamia CDM na sasa wa monduli nao wanataka kuhamia CDM, kwahiyo hizo kata zinabaki wazi au imekaaje. Msaada kwenye tuta.Kulikuwa na mjadala hapa kuhusu Julius Kalanga kuhama au kutohamia chadema. Sasa imedhihirika kuwa alikuwa anasubiri kukusanya kundi la madiwani wa monduli ambapo kesho watahamia chadema. Maandamano makubwa yatafanyika kutoka monduli kwenda mjini Arusha kutangaza rasmi. Yeye mwenyewe ndie amezungumza na daily news.
Source: Daily News uk wa 6. Huwezi amini daily news imekuwa ya kizalendo inaweza kuandika habari kama hizi na hata ya kuhama wanachama 2400 kwenda chadema wameiandika. Kivunjwe chama cha majambazi!
Ati ni kweli CCM wanatafuta mnunuzi wa jengo lao Arusha? Jamani wanaCDM tuchange tulinunue. CCM bye bye.
Daily News................... Kweli? au wanataka kufanya biashara ya gazeti lao manake si ajabu watu washalisusia!!!!!!!
kujifariji si vibayaSafi sana wanajivua gamba wenyewe kabla hawajavuliwa wamepigwa pini wakapinika wenyewe wameanza kuweweseka na kukimbia bado babu lao nalo liende tu na kwa sasa CDM mjiandae kupokea na hao mawaziri,CCM hawako tayari kukaa na magamba,magamba yanavyochomoka ni furaha kwao ha ha ha ha ha ha kweli Mh Nape ulinena muda utafika kama ujajivua utavuliwa sasa wamekusikia wanajivua wenyewe na kuona future yao kisiasa ndani ya CCM imekufa ngoja wakajaribu na huko kwengine CDM.......!
Daily news walishashtuka wasomaji wake wapo mrengo gani.
Bado uhuru si muda mrefu wataanza kutoa habari za kweli. Kwasababu wana hali mbaya sana kiuchumi. Wanashindwa kuuza hata nakala 100 kwa siku. They are now considering on weekly basis rather than daily.
kujifariji si vibaya