Madini, Kilimo, Ardhi ufisadi mtupu

MPadmire

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
3,928
3,225
Watanzania ni watumwa katika nchi yao.

Viongozi wa ccm ndo wakoloni weusi.

Maeneo ya kuchimba madini wamepewa Wazungu - Tanzanite One, Barrick Tarime, Anglo Gold Geita, Mwadui and you name them...................

Kilimo, Ardhi.... Maeneo yenye rutuba wamepewa wawekezaji -Mbarali, Mashamba ya Ngano Manyara. Maeneo ya Kahawa Moshi..Watanzania wakiomba hawawezi kupewa ila wakija wageni watapewa kwa sababu ya 10%...

-Eti Bangladesh wanakuja kukodi mashamba Tanzania walime.... 60% watapeleka kwao na 40% watabakiza. Non sense.

hata kama watatumia matrekta kulima, bado watanzania watakuwa watumwa tuu.

SERIKALI YA CCM- NAWAULIZA HII NDO KILIMO KWANZA? KUUZA ARDHI KWA WAGENI NA WATANZANIA KUWA WATUMWA???

Kwa nini wamachinga wanazidi mijini Tanzania???? Why tell me people.

Hawa vijana hawana sehemu za kulima.

Vijana wanaotaka kulima wanaweza kumilikishwa angalao hekari 5 au mpaka kumi kadiri ya uwezo wa mtu kulima.

Wakivuna mazao yanakuwa na masoko au yanakuwa processed and exported.

Vitalu vya uwindaji vya utalii- bei gani wanapewa wageni na vitalu vyenye wanyama wengi
 
Back
Top Bottom