madingi wengine bana

Mzito Kabwela

JF-Expert Member
Nov 28, 2009
18,857
7,615
295290_3809258875174_1388540516_3563821_592854364_n.jpg
 
Hilo dingi sio **** linajua jinsi ya kula maisha hicho kitambi sio cha kula vizuri ni roho imeridhika huo mkono kuna mahali umeshika ndio maana dingi kafurahi huoni anavyosinzia kuashiria hayupo kiroho ni kimwili tuu
 
Akifika kwa mke wa ndoa hata maji ya kuoga hawekewi, kelele kibao, maudhi ya kila aina. Acha ajilie utamu kwa raha zake!
 
Zee zima lina mamvi mpaka kwenye makalio halafu eti unaitwa Baby!
 
mmmh kitu tigo k kwa mkeo ndio kauli mbiu za nyumba ndogo...hakunaga piliody cjui namaliza kesho mmh kazi kweli nyumba ndogo raha sana.
 
Sasa naweza sema siku imekamilika lol! nimecheka mpaka basi ingawa, umechora wewe nini mtumishi!?
 
Back
Top Bottom