Madhumuni ya TANU na Imani ya CHAMA

" Ujamaa na kujitegemea ndiyo njia pekee ya kujenga jamii ya watu walio sawa na huru"

View attachment 29874
Mbona hujapost yale madhumuni na imani ya chama tulikuwa lazima tukariri? Enzi hizo kama wewe siyo mwanachama hupati kazi, wala shule yeyote. Ilikuwa condition muhimu kuwa na kadi ya TANU. Kila matanganyika alilazimika kuwa mwanachama wa TANU. Natamani sana kuyaona tena ili nijikumbushe. Ila yalikuwa muhimu sana.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom