madhara ya vita

Mkurabitambo

JF-Expert Member
Feb 3, 2010
230
57
Tanzania,Tanzania nakupenda kwa moyo wote ndio wimbo ambao kila mhitimu wa shule anaujua. Ukikaa na wazee ukasikiliza yale yaliotokea wakati wa vita ya amin 1978/79 watakuambia.
Nenda Lugalo kaongee na wanajeshi waliopigana vita ile watakuambia waliokutana nayo,chukua muda wako waulize exsoldierz utajua.
Tuache siasa na kutafuta umaarufu,vita sio solution.kwan taifa hli linawanadiplomasia wangap mpaka nchi kama malaw ituangaishe? Tutaanza kuwa na mashaka na wanadiplomasia wetu.
SIKO TAYARI KUONA TUNAINGIA VITAN
 
Acha uoga mtoto wa kiume haogopi vita .anapambana . Shauri yako ipo siku utataitiwa usiku na mateja na kwa uoga wako watakula hadi tigo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom