Madhara ya uvutaji sigara

mdau wetu

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
548
58
Kwa nini licha ya utafiti kuonyesha kuwa uvutaji sigara una madhara mengi, lakini bado serikali nyingi zingali zina viwanda vya kutengeneza sigara. Kwa nini serikali haziwi mstari wa mbele kupiga vita sigara kwa kufunga viwanda vya kutengeneza sigara na kuvigeuza kuwa vya kusindika matunda?
 
Back
Top Bottom