Kwa hivyo mwataka tuaminisha kwamba JPM alivyosema atagawa bure yale matani ya sukari weye kuendi kuchukua kwa kuogopa kisukari?? Wakaa wapi mkuu nije unipe shea yako?
Kama huna pesa ya kununua hata maji yanaletaga ugonjwa wa kukojoa kitandani, tusinywe ,maji ya Uhai. Tena yana chumvi nyingi ambayo ni hatari mwilini. Tunywe maji ya visimani kwani yamechujwa tiyari na mchanga.
Leta wazo jingime ila hili la sukari, acha watu wajilie vyao. Watu wameinunua kwa bei mara mbili wasema yaleta ugonjwa!