Madhara ya shinikizo la damu

Oleni

Member
Sep 10, 2012
17
2
Mdogo wangu amekuwa akisumbuliwa na tatzo la mapigo ya moyo kwenda mbio kumbe ni Hbp.

Na mpaka sasa imemuathiri upande mmoja kama kiharusi japo sio completely kwan anaweza kufanya kazi kama kawaida ila ni dhaifu na jicho la upande mmoja linapunguza uangavu afu ni zito kufumbua.

Naomben ushauri jinsi ya kucontrol pressure yeye ni mwembamba hana mwili mkubwa, na pia jicho linaweza kuimprove au ndio bac tena. Plz naomben ushauri kwa dokta nmeenda ameniandikia tu dawa za kutumia
 
Mkuu pole sana kwa huyu mdogo wako juu ya hayo matatizo yaliyomkuta umezungumzia mamambo mawili mapigo ya moyo na

ugonjwa wa kiharusi? huenda huyo ndugu yako ana huo ugonjwa wa kiharusi lakini wewe umeshiklia mapigo ya moyo H.B.P?

tukuelkewe vipi ndugu yako anaumwa kiharusi au anao ugonjwa wa mapigo ya moyo?Hujatuambia Mdogo wako ni mwaname au

Mwanamke? ana miaka mingapi? matatizo hayo aliyokuwa nayo yana muda gani? ameshaenda kupimwa na kuonekana na kitu gani?

dawa gani mara ya mwisho ulizopew na Daktari alizokuwa anatumiamgonjwa?Daktari amesemaje juu ya mgonjwa?
 
Ana umri wa miaka 19 mwanaume na hospital alpewa dawa za kupunguza mapigo ya moyo kwani alpimwa presha ikawa 149/90, ila kama unavyojua hosptal za serikal unaandikiwa tu dawa bila ushauri. Mkuu tatizo ni hbp kwan hicho kiharusi kimekuja baada ya presha.
 
Mkuu Oleni bado maelezo yako sijatosheka umesema umempeleka hospitali Daktari amakupa dawa pasipo na ushauri wowote ule sasa

umejaribu kwenda Hospitali kuu ya mkoa hapo ulipo?Au kama upo Dar nenda hospitali ya Muhimbili kule kuna

Watalamu wamfanyie uchunguzi ili wapate kujuwa ni nini chanzo cha
maradhi yake mgonjwa wako kisha uje hapa utupe Feedback.

Hapa kila mtu atakuambia mawazo yake kivyake ushauri wangu nenda Hospitali kuu ya hapo ulipo kisha uje tena hapa utuambie Madaktari wamesemaje?
 
Ni wazo zuri sana ntajitahidi kufika Muhimbili
 
Mkuu.@Olen Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa hapo kwetu ndio Fainali ukisha maliza matibabu ya hapo Hospitali ya muhimbili wakishindwa

njoo hapa tutakupa Dawa za Tiba-Mbadala lakini kwanza nenda Hospitali kuu ya Taifa .kisha uje hapa utupe

feedback umefikia wapi na hali ya mgonjwa enaendeleaje?
 
Nashukuru sana ntafanya hivyo
 
Mdogo wangu amekuwa akisumbuliwa na tatzo la mapigo ya moyo kwenda mbio kumbe ni Hbp. Na mpaka sasa imemuathiri upande mmoja kama kiharusi japo sio completely kwan anaweza kufanya kazi kama kawaida ila ni dhaifu na jicho la upande mmoja linapunguza uangavu afu ni zito kufumbua. Naomben ushauri jinsi ya kucontrol pressure yeye ni mwembamba hana mwili mkubwa, na pia jicho linaweza kuimprove au ndio bac tena. Plz naomben ushauri kwa dokta nmeenda ameniandikia tu dawa za kutumia

Pole sana Oleni kwa kuuguliwa...nadhani mdogo wako anahitaji si ushauri tu wa kwenye forum hapa, bali uchunguzi zaidi wa matatizo yake. It is very strange kwa kijana wa miaka 19 kuwa na HBP kiasi cha kupata 'cardiovascular accident/attack' (CVA eg Stroke minor or major au Transient Ischaemic Attack (TIA) samahani kama majina yatakuchanganya, nimeandika humo ili kama utataka ku-google upate information zaidi).

Si HBP tu husababisha stroke, kuna umuhimu wa mdogo wako kuchunguzwa beyond HBP. Mara chache sana pressure inayorange 150/90 inasababisha stroke. Kwenye hiyo namba hapo juu...150 tunaita Systolic Blood Pressure, 150 is high but not that high..nitakuwa na wasiwasi wa stroke kama mgonjwa atakuwa na SBP 180 na zaidi....hiyo 90 tunaita Diastolic Blood Pressure, 90 ni normal..high DBP ya kutilia shaka ni kuanzia 100 na kuendelea. Kwa hiyo pressure ya 150/90 naweza iita 'borderline HBP' ambayo itahitaji kupima mara kadhaa kujiridhisha kuwa its really HBP.

Ushauri: Sipigi debe...but jitahidi umuone Dr Herry Mwondolela wa Heameda Clinic pale Upanga Scout, ni bingwa wa moyo (Cardiologist) mzuri sana, atamuevaluate vyema mdogo wako.
 
Pole sana Oleni kwa kuuguliwa...nadhani mdogo wako anahitaji si ushauri tu wa kwenye forum hapa, bali uchunguzi zaidi wa matatizo yake. It is very strange kwa kijana wa miaka 19 kuwa na HBP kiasi cha kupata 'cardiovascular accident/attack' (CVA eg Stroke minor or major au Transient Ischaemic Attack (TIA) samahani kama majina yatakuchanganya, nimeandika humo ili kama utataka ku-google upate information zaidi). Si HBP tu husababisha stroke, kuna umuhimu wa mdogo wako kuchunguzwa beyond HBP. Mara chache sana pressure inayorange 150/90 inasababisha stroke. Kwenye hiyo namba hapo juu...150 tunaita Systolic Blood Pressure, 150 is high but not that high..nitakuwa na wasiwasi wa stroke kama mgonjwa atakuwa na SBP 180 na zaidi....hiyo 90 tunaita Diastolic Blood Pressure, 90 ni normal..high DBP ya kutilia shaka ni kuanzia 100 na kuendelea. Kwa hiyo pressure ya 150/90 naweza iita 'borderline HBP' ambayo itahitaji kupima mara kadhaa kujiridhisha kuwa its really HBP.

Nnashukuru sana kwa huu ushauri dokta ntafanya hivyo. Ahsante sana.
 
Baada ya vipimo kadhaa pia amegundulika na minyoo mikali ya Amoeba je inaweza ikachangia hali hiyo, kwa mujibu wake yeye hakuwa anajua dalili za amoeba ila alisema amekuwa akipata kinyesi chenye vitu kama makamasi mara moja moja takriban ni miaka 3.
 
Mkuu.@Olen Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa hapo kwetu ndio Fainali ukisha maliza matibabu ya hapo Hospitali ya muhimbili wakishindwa

njoo hapa tutakupa Dawa za Tiba-Mbadala lakini kwanza nenda Hospitali kuu ya Taifa .kisha uje hapa utupe

feedback umefikia wapi na hali ya mgonjwa enaendeleaje?

Baada ya vipimo kadhaa pia amegundulika na minyoo mikali ya Amoeba je inaweza ikachangia hali hiyo, kwa mujibu wake yeye hakuwa anajua dalili za amoeba ila alisema amekuwa akipata kinyesi chenye vitu kama makamasi mara moja moja takriban ni miaka 3.
 
Baada ya vipimo kadhaa pia amegundulika na minyoo mikali ya Amoeba je inaweza ikachangia hali hiyo, kwa mujibu wake yeye hakuwa anajua dalili za amoeba ila alisema amekuwa akipata kinyesi chenye vitu kama makamasi mara moja moja takriban ni miaka 3.
mkuu Oleni asante sana kwa Feedback zako kama walivyosema MaDaktari jaribu kuwasikiliza Ushauri wao MaDaktari na aendelee kutumia Dawa na uzidi kutupa feedback Maendeleo ya Mgonjwa wako atapoona tu inshallah asante.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom