Madhara ya nyoka ni sumu na sio gamba.

Loh umenena kifupi na kiukweli,
Gamba unaweza kulichezea utakavyo na hata ukajifunga shingoni, mkononi, mguuni au hata kiunoni. Tena gamba mara zote huwezi kulivua kwa nyoka bila ya muda wake mdudu huyo kujivua tena kwa hiari, katu huwezi kulazimisha kumvua gamba nyoka pasi hiari/ridhaa yake mdudu huyo tena kwa wakati maalum. Lakini sumu weeeee....thubuuuutuuuuu!!
Ni mithili ya kiini macho 'kuwavua' magamba, wao 'wanaotakiwa kuvuliwa' wangejitamkia kujivua gamba (tena kwa hiari) hapo lingeeleweka vema kimantiki lakini sio hizi ngonjera.
 
Back
Top Bottom