Madhara ya 'Mlango wa dharura' ni yapi?

Masa na Fidel80!

No doubt nyie mnaona ina raha sana,hatukatai. Pia kama mwanamke huwezi kusema hapa kama unajaribu au umefanya, si mnaijua vizuri jf maana kesho na keshokutwa mtu anakunukuu kwa ulichoandika.Its more private kwenye maisha ya mtu!

Mpeni madhara ya TG huyu mtu ajue ili akitaka kujaribu au kama anasikia ajue raha na madhara yake.

TGIF..Express yourself!
..hebu belinda kuwa muwazi tukusaidie.
ktk maisha yako ya miaka uliyoishi hakujawahi au haijawahi kutokea kweli mtu kupata dharura wakati anaingia kwako?? pls bellly sema ukweli basi
 
Heee heee msanii acha kumpiga usanii Bellies! with capital letters ! Jibu ni NO
 
shekhe usiseme hivyo. usijekuta kumbe fyekeo langu linafyeka hata mibuyu kwa pigo moja tu hehehe

Hahahaha hahahaha mimecheka ile mbaya haya kaka Jumamosi njema wacha nikimbie marathon kidogo! Hilo fyekeo Maulana aliweke mbali kabisa hii inaweza kuwa hatari kubwa duuu oooohh fyekeo hili sihitaji hata likaribia!
 
lol
mkuu samahani kumbe nilikuwa najaribu fyekeo langu kwenye kiwanja chako?
hahaha
hehehe mkuu Masa atakuelewa vibaya anaweza akakuignore usiongee kabisa na Bellies si unajua abiria chunga mzigo wako.
 
Hahahaha hahahaha mimecheka ile mbaya haya kaka Jumamosi njema wacha nikimbie marathon kidogo! Hilo fyekeo Maulana aliweke mbali kabisa hii inaweza kuwa hatari kubwa duuu oooohh fyekeo hili sihitaji hata likaribia!
Mkuu usihofu, mambo ya kawaida haya
 
hehehe mkuu Masa atakuelewa vibaya anaweza akakuignore usiongee kabisa na Bellies si unajua abiria chunga mzigo wako.
ah
we acha tu.
si unajua mtu unapojikwaa kwenye kisiki huwa huulizi kisiki hiki mali ya nani. ila wakati unakichimbua ndipo mmiliki anatokea na kukuhalt. we acha tu mkuu!
 
binti naona unaniiita kijanja. ingawa milango ya dharura huwa haipitwi hovyo lakini hatima yake hupitwa inapobidi.

ila hiyo post yako mh!.... inanipa wasiwasi.
hebu tujuze wangapi umewalipiza kisasi?

nadhani umenielewaq vibaya nimetoa tu wazo kama wewe unapenda kufanyia watu kwa nini na wewe usifeel pain mwenzako aliyoipata.

mimi sijawahi na wala siwezi naiishi imani yangu na hainiruhusu.
 
Belinda ni PM basi usiseme hapa wanoko wengi...mimi nitatunza siri,..siunajua tena watu wa kazi

MM
Subiri tu nikwambie hapahapa,naamini hamna atakaeona maana PM niko banned kutumia...ni hivi sijawahi kutumia mlango wa dharura maana sijawahi kupoteza funguo za mlango wa kila siku..
 
ha ha ha ha unampa mwamko tu Masa hapa
 
MM
Subiri tu nikwambie hapahapa,naamini hamna atakaeona maana PM niko banned kutumia...ni hivi sijawahi kutumia mlango wa dharura maana sijawahi kupoteza funguo za mlango wa kila siku..

Ina maana ukipoteza funguo utautumia mlango wadharura?

huo mlango wako wa kawaida naona utakuwa ni maalumu,maana wenzio kila baada ya tarehe 28 au 30 huwa wanapoteza,au wewe ni over 45?
 
MM
Subiri tu nikwambie hapahapa,naamini hamna atakaeona maana PM niko banned kutumia...ni hivi sijawahi kutumia mlango wa dharura maana sijawahi kupoteza funguo za mlango wa kila siku..
Belinda
tatizo sio funguo, tatizo ni wakati wa kuingia maana inategemea kama muingiaji amekurupushwa na simba huko atokako unadhani mlango wa dharura utabaki closed?? enewei hongera kwa kujitahidi kusema ila mmmh ngoja nitamuuliza MASA kama ni kweli mlango wa dharura buibui wamejenga huko....
 
nadhani umenielewaq vibaya nimetoa tu wazo kama wewe unapenda kufanyia watu kwa nini na wewe usifeel pain mwenzako aliyoipata.

mimi sijawahi na wala siwezi naiishi imani yangu na hainiruhusu.
Je ukiwezeshwa utashukuru?
 
Back
Top Bottom