Madhara ya Kuvunjika Muungano wa Tanzania Asema baba wa Taifa Mwalim Nyerere

Katika vitu ambavyo babu Nyerere alituingiza chaka ni kwenye huu muungano wake na hawa kupe wa kizanzibar
 
Katika vitu ambavyo babu Nyerere alituingiza chaka ni kwenye huu muungano wake na hawa kupe wa kizanzibar
Usilete chuki zako Mkuu Bila ya Zanzibar hakuna neno Tanzania Wa Tanzania wote ni ndugu moja Jaribu kumuheshimu Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere Mwenyeezi Mungu aiweke roho yake pema peponi.
 
Back
Top Bottom