Mwali
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 7,014
- 5,610
Yaani nikikusoma ni kama unapenda zaidi kampani ya wanaume wenzio kuliko wanawake, jambo ambalo lilikufanya kuhama toka kwenu kwenda kukaa nao huko dojo, sijui dojo...Haya bwana.mkuu ngoja niongeze tena yrs za kutosha wakati wakati nafanya mchakato wa kuoa.Thanks sana sana mkuu.Ujue hali hii huwa inanifurahisha na kuzidi kupata nguvu yakuto fanya mapenzi pindi niwapo dojo nafanya zoezi na washikaji ambao ni cha ngono huwa nastahimili mikiki mikiki na kuwakimbiza mpaka rahaa.Huwa nawa enjoy sana wanapo frot na kutweta.