Madhara ya kula unga wa sembe

JosM

JF-Expert Member
Oct 11, 2008
679
17
wanaJF naomba ushauri wenu.Nina rafiki yangu wakike ambae anatatizo la kula unga wa sembe,tabia hii ameianza toka alipo kuwa msichana(kuvunja ungo)toka wakati huo hadi leo hii amejaribu njia mbali mbali ambazo zitamfanya achane na tabia hiyo imeshindikana.

Sasa imefikia wakati anachukua unga kwenye mkoba wake anaenda nao officen,jioni akirudi anachukua mwingine tena....pia katika pita pita zangu nimegundua baadhi wanawake wana tabia za kula vitu vya hajabu hajabu,kwa mfano kuna wanao kula udongo/mkaa sijajua ili tatizo lina sababishwa na kitu gani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom