X-PASTER
JF-Expert Member
- Feb 12, 2007
- 11,610
- 1,809
Una ushahidi wa haya uliyo yaandika kaka...!? Au just porojo za vichochoroni...!?......."Hakuna mtu aliyetumia kitabu kuharamisha "pork" Ila kama umesoma vizuri issue imeanzia kwenye scientific facts ambazo wataalam wanasema kutokana na pork tissue huenda ndiyo sababu hata vitabu vitakatifu vikamkataza mwanadamu kumtumia mnyama huyu. Kumbuka kila kitu huendana na afya. .....Sasa wewe ukitaka Quran na vitabu vingine vitumike ili kuharamisha pork unataka kuelekea kwenye league ya religion ambako huko itakuwa ni vigumu sana kufikia muafaka kutokana na kila mtu kuwa na imani yake. kitu ambacho unatakiwa kujua ni kwamba
minyoo Siyo sababu ya quran kukataza kitimoto. Kuwa na minyoo, waliiona wapi miaka hiyo wakati ambapo hata light microscope haiukuwepo kwenye horizon! Issue ya kwamba kitabu cha dini kimetabiri itakavyokuwa au ilivyo huwa ni hisia tu za watu za kutaka kuhararisha matakwa yao. Ninavyofahamu mimi Quran imekataza kwa sababu ya utamu wake. Miaka hiyo Iliandaliwa bonge la party, yaani kubwa sana, na nyama ya kitimoto ikawekwa kwa ajili ya mheshimiwa pekeee kwa kuwa ilikuwa kidogo! hapo mweshimiwa akasema hii ngoma inaleta uchoyo kwenye jamii na ikapigwa full stop! Siku hizi kitimoto kibao, labda tuanze kula wote, kama inavyoonekana kwa baadhi, ndiyo chaweza potea!