Madhara ya kuangalia Picha/Video za Ngono

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Mhafidhina, Nov 22, 2010.

 1. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #1
  Nov 22, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 549
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Jamani naomba kufahamu madhara yatokanayo na kuangalia picha/video za ngono kwa watu wa aina zote, Wanaume kwa Wanawake...!
   
 2. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #2
  Nov 22, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,356
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  badae kidogo ngoja niangalie desa hapa
   
 3. Maria Roza

  Maria Roza JF-Expert Member

  #3
  Nov 22, 2010
  Joined: Apr 1, 2009
  Messages: 6,747
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 38
  Hakuna MADHARA
   
 4. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #4
  Nov 22, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,599
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Hakuna madhara physical au psychological yatokanayo na kuangalia video za ngono. Tatizo lina luka pale mtu unapo dhani kila unacho kiona kwenye video hizo ni kweli.

  Kuna watu wanaangalia video hizo na kiona technics na kuviapply kwenye maisha ya mapemzi. Wasicho ni kwamba ule ni uigizaji. Wengine wakiona style fulani
  inamfanya mwanamke apigee mayowe wanaenda kwa
  wapenzi wap bila kujua kwamba Mara nyingi porn stars wana fake orgasm kicreate uhalisia.

  Kwa hiyo mkuu usije ukaona kwenye hizo video mwanamke ana zabwa vibao au kushindiliwa uume kooni mpaka ana kuwa mwekundu huko ana furahia na wewe ukaenda kumfanyia mpenzi wako.

  So madhara ni hilo tu mkuu la kudhani kola unacho ona humo kinamfurahisha mwanamke na wewe kuongeza mbinu hizo kwenye "arsenal" yako. Vitu vingine mbembewe tu so beware unavyo iga.
   
 5. Mhafidhina

  Mhafidhina JF-Expert Member

  #5
  Nov 22, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 549
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna tatizo la kuwa addictive. Inasemekana pia hizi picha na video za ngono zinaweza kumfanya mtu kuwa addictive sana kiasi cha kushindwa ku-do mpaka atazame kidogo ili kuamsha hisia...! Sasa sijajua huli ni kweli kiasi gani...!

   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  Nov 22, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,599
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  It is not addictive kiasi cha kukufanya ushindwe kuperform kunako sita kwa sita. Addiction yake ile ni metaphor tu Kama vile mtu anapo kuwa addicted na kipindi fulani au aina fulani ya movie.

  Tatizo ukizoea sana you lose touch with reality and create false expectations for ur lover and urself. Ila kama ukiichukulia kama burudani tu haina madhara. Kuna watu wanaangalia porn na wenza wao kama vile baadhi ya watu wanavyo enda strip club na wapenzi wao.
   
 7. Jay One

  Jay One JF-Expert Member

  #7
  Nov 22, 2010
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 7,623
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 48
  No ni nzuri kwa kujifunzia, but be private with ur wife or alone, pili don't watch everyday, once a week is Good, kama huangalii kabisa ni uamuzi wako pia, but be careful anything in excess is harmful, iwe ngono, chakula, kusoma, mazoezi, kucheka, watching Porno, etc have ur own limit,
   
 8. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #8
  Nov 24, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 41,061
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 48
  Hakuna tendo lisilo na faida na hasara.........................................
   
 9. G

  GUSEPE Senior Member

  #9
  Dec 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  Wajameni,naombeni mnijuze hasara na faida za kuangalia picha za ngono!
   
 10. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #10
  Dec 17, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 23,901
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 63
  Uko darasa la ngapi vile??
   
 11. G

  GUSEPE Senior Member

  #11
  Dec 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  mkuu nimemaliza STD 7 mwaka 1989!
   
 12. s

  sokoinei JF-Expert Member

  #12
  Dec 17, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 1,835
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nenda fecebook hapa sio mahala pake jinga sana wewe naukome kutuchafua humu ni thegreat pekee kwendraa
   
 13. Penelope

  Penelope JF-Expert Member

  #13
  Dec 17, 2012
  Joined: Aug 23, 2012
  Messages: 290
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 18
  Hakuna faida sana sana ukishamaliza kuangalia utaanza tu kutafuta pa kutulizia mihemuko yako..
   
 14. The Bleiz

  The Bleiz JF-Expert Member

  #14
  Dec 17, 2012
  Joined: Jan 7, 2012
  Messages: 2,342
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 38
  Unakua unauliza uliza maswali ya kijinga kijinga kama hili...
   
 15. Sumbalawinyo

  Sumbalawinyo JF-Expert Member

  #15
  Dec 17, 2012
  Joined: Sep 22, 2009
  Messages: 1,286
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  mbona akili zako hazikui?
   
 16. G

  GUSEPE Senior Member

  #16
  Dec 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  Wajua nataka kupata majibu sahih ya kumpa kijana wangu wa kiume bse anaangalia sana....
   
 17. G

  GUSEPE Senior Member

  #17
  Dec 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  Ni wa ajili ya kumpa kijana wangu wa 15yrs majibu sahih
   
 18. kiwatengu

  kiwatengu JF-Expert Member

  #18
  Dec 17, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 12,046
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 63
  Huyo kijana wako wala asikusumbue..dawa yake nenda kamhasi! hatoangalia tena picha chafu!!
   
 19. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #19
  Dec 17, 2012
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,455
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 38
  hakuna madhara kama anajielewa ila kama hajielewi kazi ipo mpe kazi nyingi ili akichoka alale zaidi ya hapo sidhani kama ataacha kikubwa ni mishemishe ziwe nyingi asipate mda wakuangalia pc au tv..
   
 20. G

  GUSEPE Senior Member

  #20
  Dec 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  OMG!...natafakari
   
 21. TWIZAMALLYA

  TWIZAMALLYA JF-Expert Member

  #21
  Dec 17, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 399
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nenda shule kwanza ukaongeze elimu
   
 22. m

  mwagisa Senior Member

  #22
  Dec 17, 2012
  Joined: Jun 24, 2012
  Messages: 48
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Chapa piga huyo kijana na anaangalizia sehem gan kwenye cm tv computer? Wakati huo ww unakuwa wap?
   
 23. kiwatengu

  kiwatengu JF-Expert Member

  #23
  Dec 17, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 12,046
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 63
  yah! tafakari sana..kama ukifanya hvyo halafu akaendelea kutazama, nitakupa njia nyingine.
   
 24. G

  GUSEPE Senior Member

  #24
  Dec 17, 2012
  Joined: Nov 28, 2012
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 6
  Anaangalizia chumbani kwake kwenye computer...nimepiga saaaana
   
 25. M

  MAWERE JF-Expert Member

  #25
  Dec 17, 2012
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 449
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Check na nepi na luinde wanajua,na yule simba.aliefumaniwa
   
 26. m

  maranduhussein JF-Expert Member

  #26
  Dec 17, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Majibu gani haya?Tumia busara ktk kujibu hata kama kauliza suali la kijinga.Au haya ndo majibu ya “thegreat" ambao hutaki wachafuliwe?
   
 27. m

  maranduhussein JF-Expert Member

  #27
  Dec 17, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 16
  Kwani kutokuhasiwa kunasababisha mtu kuangalia picha za ngono?Ama kweli kwenye msafara wa mamba na kenge pia kumbe wamo.
   
 28. Type

  Type JF-Expert Member

  #28
  Dec 17, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 202
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hakuna logic hapo, quity
   
 29. taamu

  taamu JF-Expert Member

  #29
  Dec 17, 2012
  Joined: Dec 11, 2012
  Messages: 3,305
  Likes Received: 118
  Trophy Points: 63
  puchuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu!
   
 30. kiwatengu

  kiwatengu JF-Expert Member

  #30
  Dec 17, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 12,046
  Likes Received: 173
  Trophy Points: 63
  Kwa hiyo wewe ndiyo kenge?
   

Share This Page