Daniel Anderson
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 872
- 141
Liwalo na liwe
naunga mkono hoja hongera wana kidodiMkubali, msikubali, ukweli ndio huo. wakuu wa wilaya ni lazima wafanye kazi za chama kwa kuwa ndicho kimewaweka hapo. huo ndio ukweli. katika hilo zoezi, wananchi waje, wasije, sensa ni Agosti 26. Kwani jogoo asipowika hakuchi????????????
Baada ya Waziri mkuu Mh.Pinda kuweka wazi wakuu wa wilaya na mikoa kufanya kazi za chama (ccm).Mkuu wa wilaya kilosa kata ya Ruaha ameshindwa kufungua zoezi la sasa baada ya kukosa watu.mpaka sasa vipo viti tu na walimu wachache ambao watahusika katika zoezi la sensa.wanananchi wanasema kwamba yeye amekuja kufanya kazi ya chama.source.mwenye nipo kwenye mkutano.
Hafu Kilosa ndo alipokuwa baba Dr.Slaa juzi kati, Pinda katibua sana aiseee
mchumba angu nae yupo kwenye sensa na kesho watakuwa pta na dc wa temeke yaani ninammind cjui ht nifanyeje?
Ni moja ya kauli za kipuuzi kuwahi kutolewa!
Wafanye wasifanye, who cares! afterall wamekuwa wakifanya siku zote, DC wa Igunga is a case in point! lakini wakumbuke kwamba Kiendacho hurudi, when the chicken start coming home to roost; do not cry foul!
Wazinifu ni wewe na magamba wenzio,mchemba,simbachawene,komba na wengineo mnajijua kwa kuiba wake za watu....nyambafu.we ni mzinifu tu huna lolote.