Madhara ya kauli ya pinda yaanza kuonekana.

Mr.Busta

JF-Expert Member
Mar 24, 2011
672
99
Baada ya Waziri mkuu Mh.Pinda kuweka wazi wakuu wa wilaya na mikoa kufanya kazi za chama (ccm).Mkuu wa wilaya kilosa kata ya Ruaha ameshindwa kufungua zoezi la sasa baada ya kukosa watu.mpaka sasa vipo viti tu na walimu wachache ambao watahusika katika zoezi la sensa.wanananchi wanasema kwamba yeye amekuja kufanya kazi ya chama.source.mwenye nipo kwenye mkutano.
 
Mkubali, msikubali, ukweli ndio huo. wakuu wa wilaya ni lazima wafanye kazi za chama kwa kuwa ndicho kimewaweka hapo. huo ndio ukweli. katika hilo zoezi, wananchi waje, wasije, sensa ni Agosti 26. Kwani jogoo asipowika hakuchi????????????
 
siku hizi wananchi wanadaka mambo haraka sana,hii inaonyesha mwamko umekua juu sana.
 
Mkubali, msikubali, ukweli ndio huo. wakuu wa wilaya ni lazima wafanye kazi za chama kwa kuwa ndicho kimewaweka hapo. huo ndio ukweli. katika hilo zoezi, wananchi waje, wasije, sensa ni Agosti 26. Kwani jogoo asipowika hakuchi????????????

wananchi hawakatai sensa ila ni jinsi gani hawa wakuu watakuwa na wakati mgumu wa kuonana na wananchi moja kwa moja.kwani kuna wakati wanasuluhisha migogoro ya wananchi hvyo itakuwa ni vigumu kwao kufanya usuluhishi kwani wananchi hawana imani nao.
 
Uko sahihi kimtazamo, lakini gharama yake itakuwa kubwa hasa pale ambapo athari ya embarassment itakapokuwa imelalia kwenye majukumu ya serikali
 
Mkubali, msikubali, ukweli ndio huo. wakuu wa wilaya ni lazima wafanye kazi za chama kwa kuwa ndicho kimewaweka hapo. huo ndio ukweli. katika hilo zoezi, wananchi waje, wasije, sensa ni Agosti 26. Kwani jogoo asipowika hakuchi????????????

wananchi hawakatai sensa ila ni jinsi gani hawa wakuu watakuwa na wakati mgumu wa kuonana na wananchi moja kwa moja.kwani kuna wakati wanasuluhisha migogoro ya wananchi hvyo itakuwa ni vigumu kwao kufanya usuluhishi kwani wananchi hawana imani nao.
 
Wananchi waendelee hivyo hivyo kuwasusia ma DC na ma RC ili kuwanyima majukwaa ya kufanyia ccm siasa badala ya kuwa watumishi wa wananchi wote wanaowalipa mishahara.
 
Mkubali, msikubali, ukweli ndio huo. wakuu wa wilaya ni lazima wafanye kazi za chama kwa kuwa ndicho kimewaweka hapo. huo ndio ukweli. katika hilo zoezi, wananchi waje, wasije, sensa ni Agosti 26. Kwani jogoo asipowika hakuchi????????????

Wafanye wasifanye, who cares! afterall wamekuwa wakifanya siku zote, DC wa Igunga is a case in point! lakini wakumbuke kwamba Kiendacho hurudi, when the chicken start coming home to roost; do not cry foul!
 
Kama sio kuzoea fahari naamini kabisa wapo wakuu wa mikoa na wilaya wasioipenda CCM kwasasa, wanatamani hata kujiuzuru wakafanye ujasiriamali na roho zao zitulie kuliko kazi yenye mapresha na lawama kama hiyo waliyonayo kwasasa!
 
kwa upande huu wa ruaha huyu mkuu wa wilaya ana kazi sana,,, na zoezi lake ndo litamlemea mpaka basi,,, yangu macho mie
 
Back
Top Bottom