Madhara ya chai na kahawa kiafya

Paka paka

Member
May 9, 2016
21
7
Kuna nini kibaya kwenye chai na kahawa?

Kafenia ni nini?

1.Kafenia ni madawa ya kulevya undi la ‘stimulants drugs’.

Utashangaa habaru ndiyo hiyo. Hii ndiyo sababu kwa mtu aliyezoea kunywa chai hii kila siku au kahawa, siku asipokunywa kichwa humuuma, ni kwa sababu amekuwa mtegemezi au teja wa kafeina.

Kafenia ni kiungo omuhimu karibu katika soda zote zenye rangi nywusi; Coca-cola, Pepsi, Sayona nyeusi, Azam cola n.k. Kafenia huongezwa pia katika Red bull, Malta na katika baadhi ya dawa za kupunguza maumivu mwilini.

Kwa hiyo, kafeina ambayo hupatikana katika chai na kahawa ni aina mojawapo ya madawa ya kulevya.

2.Kafenia ni kikojoshi

Kafeina ni dawa ya kukufanya ukojowe. Ukinywa kikombe kimoja cha kinywaji chenye kafeia yaani chai au kahawa, basi muda si mrefu utaenda kukojoa vikombe viwili.Kwa sababu kafeina ni taka isiyotakiwa mwilini, mwili utafanya kila uwezalo ikibidi ujikamuwe wenyewe kupata maji ya ziada kuweza kuitoa kafeina hii uliyoinywa kwa kisingizio cha chai, kahawa au soda.

Madhara yake ni nini? Moja, kama unakunywa kinywaji na muda si mrefu unalazimika kwenda kukitoa inamaanisha kinywaji hicho hakikutumika vema na mwili. Pili, kumbuka ulikunywa kikombe kimoja na umaenda kutoa viwili, hivyo umekopwa maji mwilini mwako na ukumbuke kuwa maji ni uhai.

3.Kafeina husababisha kansa

Seli ndani ya mwili lazima zibaki katika kiasi kidogo cha alkalini kutoka 7.2 mpaka 7.4, wakati 7.0 ni ya kati au husemwa sifuri katika kipimo cha PH. Chini ya 7.0 ni asidi na juu ya 7.0 ni alkalini. Kafeina yenyewe ni asidi, hivyo ikiwa mtu anafanya chai au kahawa ndivyo vinywajivyake vya kila siku basi mtu guyo lazima atakuja kupatwa na kansa katika siku za usoni kwa kuwa seli za kansa huishi katika hali ya uasidi pekee na kafeia ndimo mazingira mazuri ya kuishi asidi.

Jarida moja la afya la uingereza. ‘The British Medical Lamcet’, limeripoti uhusiano mkubwa uliopo baina ya utumiaji wa kahawa na kansa ya kibofu cha mkojo na kupunguza kwa uzarishwaji wa mkojo.

4.Kafeina huchangia upotevu wa madini wa vitamin muhimu mwilini

Kafeina ambayo ni kikojoshi, huyalazimisha maji kukimbia nje ya mwili kwa haraka na kuziacha seli bila muda wa kutosha kuyatumia maji hayo, maji yanapokimbia kwa haraka nje ya mwili huyakimbiza pia madini muhimu nje ya miili yetu.

5.Kafeian husababisha kisukari

Mwili una vyanzo 3 vya nguvu ambavyo ni sukari, mafuta na maji/chumvi.

Tumesema kafeina ni kikojoshi, hivyo kafeina hupelekea upotevu usio wa lazima wa maji mwilini, mwili unapokosa maji kama chanzo chake cha nguvu, moja kwa moja huhamia kuitegemea sukari kama chanzo chake cha nguvu na mwishowe kisukari lazima kitokee.

6.Uchovu sugu

Wapenzi wengi wa chai ya rangi na kahawa mara nyingi wanapojisikia uchovu hukimbilia kikombe cha kahawa au chai, Kafeina iliyomo katika chai qu kahawa huenda kuiamsha na kuitumia mguvu iliyokuwa imehifadhiwa na mwili kwa ajili ya matendo ya dharura na kukuacha wewe ukiwa huna nguvu ya ziasa kwa ajili ya kazi za dharura, matiokeo yake ni mwili unakuwa upo hali ya msukosuko muda wote.

Utolewaji wa sukari iliuokuwa imehifadhiwa , kunapekekea mafadhiko mkubwa kwenye mfumo wa dharura wa mwili. Umaposhitushwa kidogo tu, unakuwa na nguvu za haraka kushuhurika na tatizo. Hali hii hatimaye ianweza kupelekea kukauka kwa tezi ya adreno kutakakosababisha damu chache yenye sukari, udhaifu, na kuumwa sana iwapo sukari haitachukuliwa mapema kupandisha juu damu sukari.

Kwa sababu ya biashar kuunda vyakula vyetu vyote maalumu na vinywaji nyenye radha mpya, radha nzuri na nguvu ya kutosha kwa kutumia kafeina toka katika mimea na mitishamba kama vile ginseng kuisisimua tezi ya adreno, kunasababisha ini kutoka sukari iliyokuwa imehifadhiwa mwilini kwa ajili ya matumizi yake ya dharua.

Hakuna nguvu iliyomo kwenye kafeina au ginseng. Kuna majina mengine mengi ya visisimuwaji hivi kama vile, kikwa za guru, kokwa za cola na mfalme wa yote ni guarana. Mbegu za guarana zina kiasi cha kafeina mara tatu zaidi ya aile za kahawa, na hawatakiwi kuliorodhesha neno kafeina kwenye vifungashio au kontena.

Ungaunga wa guarana hutumika kutengeneza vidonge vya kupunguza uzito kwa sababu kafeina itazisambaratisha hisia za njaa, lakini hakuna mahala neno kafeina linaonekana kwenye vifunganishio vya dawa hizi.

Kuna mimiea, kokwa na kemikali nyingi ambazo zitasisimua tezi ya adreno na kusababisha ina luitoa sukari iliyokuwa imehifadhiwa au hata kuitengeneza toka tishu za mwili wenyewe.

Imethibitika pia kuwa kafeina imekuwa ikiingilia na kuathiri unakilishaji wa kinasaba(DNA), namna ambavyo seli mpya hutengenezwa. Kafeina inaweza kusababisha upotevu toka mwilini wa vitamini nyingi za kundi B, kundi C,zinki, potasiamu na madini mengine. Kahawa huongeza hali ya uasidi kwenye utumbo mdogo.

Kafeina inaweza kusababisha msukosuko ndani ya mwili

Kafeina siyo kwamba tuhuimaliza nguvu iliyokuwa imehifadhiwa kwenye ubongo bali pia huzuia mfumo vimeng’enya katika kutengeneza kumbukumbu kwenye ubongo.

Kituo cha sayansi kwa maslahi ya umma kimewashauri kinamama wajawazito kikaa mbali na kafeina kwa kuwa tafiti zimeonyesha kwamba kiasi cha kafeina kilichomo kwemye vikombe 4 vya kahama kwa siku kinaweza kusababisha matatizo wakati wa kujifungua kama yalivyoonwa katika majaribio kwa wanyama.

‘Madawa na wewe’, kwa mujibu wa Dt.Earl Mindell, mwandishi wa kitabu; ‘Earl Mindell’s New vitamin Bible’(zaidi ya nakala milioni 10 zimeuzwa), anasema katika ukurasa wa 414 wa kitabu hicho kuwa ‘kafeina ni dawa yenye nguvu kubwa, uwezekano ni kuwa, hauifurahia tu kahawa au cola yako ya kila siku, bali umekuwa mtagemezi au teja wa hiyo kafeina’.

Madhara ya chaii ya rangi na kahawa mwilini ni mengi sana na tatizo moja litapelekea lingine na orodha inakuwa haiishi.

Namna ya kuepuka kaffeina kwenye kahawa na chai:

Badala ya kutumia majani hayo ya chai meusi, wewe chemsha maji yako ya chai kama kawaida na unaweza kutumia vifuatavyo kukamilisha chaii yako; unaweza kutumia tangawizi na kumbuka pia tangawizi ni dawa ya zaidi ya magonjwa 72 mwilini.

Kwa hivyo unapoinywa chai ya tangawizi siyo unaepuka madhara ya kaffeina peke yake, bali pia unakuwa umekunywa dawa ya zaidi ya magonjwa 72 mwilini. Unaweza pia kuweka mdalasini, mchaichai, kukamulia ndimu, pia unaweza kutumia mchanganyiko wa viungo vingi vua chai ambavyo vinapatikana kwa wingi katika soko la Kariako Dar es Saalam na Zanibar.
 
Kwani kwenye majani ya chai kuna caffeine au nicotine kama ya kwenye sigara?

Kuna haja ya kupitia vizuri madesa hapa usiwalishe watu matango pori.

Umejitahidi sana kuelezea ila kwenye Dunia hamna kitu salama so living is risking
 
Ndugu umefundishwa kukosoa tu! Nilitegemea ulipoanza kuandika mwishoni ungesaidia kuleta ufahamu kwa wasomaji, sasa umeonyesha ujinga zaidi na kiacha hadhila hewani, uelewa wako wa kijinga eti unashangaa "kwenye chai kuna Caffeine au Nicotine? Endelea kuwa mtumwa wa mawazo Hasi.
 
Napenda Sana angalau kwa week nikiingia jf niokote vitu vizuri kama hivi.
 
Kwani kwenye majani ya chai kuna caffeine au nicotine kama ya kwenye sigara?

Kuna haja ya kupitia vizuri madesa hapa usiwalishe watu matango pori.

Umejitahidi sana kuelezea ila kwenye Dunia hamna kitu salama so living is risking
Asante sana kwa kusoma, pia nakushukuru kwa mawazo yako
 
kwenye kikombe kimoja cha chai au kahawa kuna caffeine ya kiwango gani? na pia nataka kujua kiwango gani cha Caffeine kinaruhusiwa kwa binadamu bila kulete madhara? Nauliza hivyo kwa sababu hata sukari, chumvi au mafuta vina madhara kwa binadamu pale tu vinapozidi kiwango kinachotakiwa kwa matumizi.
 
kunywa chai ya tangawizi kwa asali utaipata faida mwilini mwako
 
Kuna nini kibaya kwenye chai na kahawa?

Kafenia ni nini?

1.Kafenia ni madawa ya kulevya undi la ‘stimulants drugs’.

Utashangaa habaru ndiyo hiyo. Hii ndiyo sababu kwa mtu aliyezoea kunywa chai hii kila siku au kahawa, siku asipokunywa kichwa humuuma, ni kwa sababu amekuwa mtegemezi au teja wa kafeina.

Kafenia ni kiungo omuhimu karibu katika soda zote zenye rangi nywusi; Coca-cola, Pepsi, Sayona nyeusi, Azam cola n.k. Kafenia huongezwa pia katika Red bull, Malta na katika baadhi ya dawa za kupunguza maumivu mwilini.

Kwa hiyo, kafeina ambayo hupatikana katika chai na kahawa ni aina mojawapo ya madawa ya kulevya.

2.Kafenia ni kikojoshi

Kafeina ni dawa ya kukufanya ukojowe. Ukinywa kikombe kimoja cha kinywaji chenye kafeia yaani chai au kahawa, basi muda si mrefu utaenda kukojoa vikombe viwili.Kwa sababu kafeina ni taka isiyotakiwa mwilini, mwili utafanya kila uwezalo ikibidi ujikamuwe wenyewe kupata maji ya ziada kuweza kuitoa kafeina hii uliyoinywa kwa kisingizio cha chai, kahawa au soda.

Madhara yake ni nini? Moja, kama unakunywa kinywaji na muda si mrefu unalazimika kwenda kukitoa inamaanisha kinywaji hicho hakikutumika vema na mwili. Pili, kumbuka ulikunywa kikombe kimoja na umaenda kutoa viwili, hivyo umekopwa maji mwilini mwako na ukumbuke kuwa maji ni uhai.

3.Kafeina husababisha kansa

Seli ndani ya mwili lazima zibaki katika kiasi kidogo cha alkalini kutoka 7.2 mpaka 7.4, wakati 7.0 ni ya kati au husemwa sifuri katika kipimo cha PH. Chini ya 7.0 ni asidi na juu ya 7.0 ni alkalini. Kafeina yenyewe ni asidi, hivyo ikiwa mtu anafanya chai au kahawa ndivyo vinywajivyake vya kila siku basi mtu guyo lazima atakuja kupatwa na kansa katika siku za usoni kwa kuwa seli za kansa huishi katika hali ya uasidi pekee na kafeia ndimo mazingira mazuri ya kuishi asidi.

Jarida moja la afya la uingereza. ‘The British Medical Lamcet’, limeripoti uhusiano mkubwa uliopo baina ya utumiaji wa kahawa na kansa ya kibofu cha mkojo na kupunguza kwa uzarishwaji wa mkojo.

4.Kafeina huchangia upotevu wa madini wa vitamin muhimu mwilini

Kafeina ambayo ni kikojoshi, huyalazimisha maji kukimbia nje ya mwili kwa haraka na kuziacha seli bila muda wa kutosha kuyatumia maji hayo, maji yanapokimbia kwa haraka nje ya mwili huyakimbiza pia madini muhimu nje ya miili yetu.

5.Kafeian husababisha kisukari

Mwili una vyanzo 3 vya nguvu ambavyo ni sukari, mafuta na maji/chumvi.

Tumesema kafeina ni kikojoshi, hivyo kafeina hupelekea upotevu usio wa lazima wa maji mwilini, mwili unapokosa maji kama chanzo chake cha nguvu, moja kwa moja huhamia kuitegemea sukari kama chanzo chake cha nguvu na mwishowe kisukari lazima kitokee.

6.Uchovu sugu

Wapenzi wengi wa chai ya rangi na kahawa mara nyingi wanapojisikia uchovu hukimbilia kikombe cha kahawa au chai, Kafeina iliyomo katika chai qu kahawa huenda kuiamsha na kuitumia mguvu iliyokuwa imehifadhiwa na mwili kwa ajili ya matendo ya dharura na kukuacha wewe ukiwa huna nguvu ya ziasa kwa ajili ya kazi za dharura, matiokeo yake ni mwili unakuwa upo hali ya msukosuko muda wote.

Utolewaji wa sukari iliuokuwa imehifadhiwa , kunapekekea mafadhiko mkubwa kwenye mfumo wa dharura wa mwili. Umaposhitushwa kidogo tu, unakuwa na nguvu za haraka kushuhurika na tatizo. Hali hii hatimaye ianweza kupelekea kukauka kwa tezi ya adreno kutakakosababisha damu chache yenye sukari, udhaifu, na kuumwa sana iwapo sukari haitachukuliwa mapema kupandisha juu damu sukari.

Kwa sababu ya biashar kuunda vyakula vyetu vyote maalumu na vinywaji nyenye radha mpya, radha nzuri na nguvu ya kutosha kwa kutumia kafeina toka katika mimea na mitishamba kama vile ginseng kuisisimua tezi ya adreno, kunasababisha ini kutoka sukari iliyokuwa imehifadhiwa mwilini kwa ajili ya matumizi yake ya dharua.

Hakuna nguvu iliyomo kwenye kafeina au ginseng. Kuna majina mengine mengi ya visisimuwaji hivi kama vile, kikwa za guru, kokwa za cola na mfalme wa yote ni guarana. Mbegu za guarana zina kiasi cha kafeina mara tatu zaidi ya aile za kahawa, na hawatakiwi kuliorodhesha neno kafeina kwenye vifungashio au kontena.

Ungaunga wa guarana hutumika kutengeneza vidonge vya kupunguza uzito kwa sababu kafeina itazisambaratisha hisia za njaa, lakini hakuna mahala neno kafeina linaonekana kwenye vifunganishio vya dawa hizi.

Kuna mimiea, kokwa na kemikali nyingi ambazo zitasisimua tezi ya adreno na kusababisha ina luitoa sukari iliyokuwa imehifadhiwa au hata kuitengeneza toka tishu za mwili wenyewe.

Imethibitika pia kuwa kafeina imekuwa ikiingilia na kuathiri unakilishaji wa kinasaba(DNA), namna ambavyo seli mpya hutengenezwa. Kafeina inaweza kusababisha upotevu toka mwilini wa vitamini nyingi za kundi B, kundi C,zinki, potasiamu na madini mengine. Kahawa huongeza hali ya uasidi kwenye utumbo mdogo.

Kafeina inaweza kusababisha msukosuko ndani ya mwili

Kafeina siyo kwamba tuhuimaliza nguvu iliyokuwa imehifadhiwa kwenye ubongo bali pia huzuia mfumo vimeng’enya katika kutengeneza kumbukumbu kwenye ubongo.

Kituo cha sayansi kwa maslahi ya umma kimewashauri kinamama wajawazito kikaa mbali na kafeina kwa kuwa tafiti zimeonyesha kwamba kiasi cha kafeina kilichomo kwemye vikombe 4 vya kahama kwa siku kinaweza kusababisha matatizo wakati wa kujifungua kama yalivyoonwa katika majaribio kwa wanyama.

‘Madawa na wewe’, kwa mujibu wa Dt.Earl Mindell, mwandishi wa kitabu; ‘Earl Mindell’s New vitamin Bible’(zaidi ya nakala milioni 10 zimeuzwa), anasema katika ukurasa wa 414 wa kitabu hicho kuwa ‘kafeina ni dawa yenye nguvu kubwa, uwezekano ni kuwa, hauifurahia tu kahawa au cola yako ya kila siku, bali umekuwa mtagemezi au teja wa hiyo kafeina’.

Madhara ya chaii ya rangi na kahawa mwilini ni mengi sana na tatizo moja litapelekea lingine na orodha inakuwa haiishi.

Namna ya kuepuka kaffeina kwenye kahawa na chai:

Badala ya kutumia majani hayo ya chai meusi, wewe chemsha maji yako ya chai kama kawaida na unaweza kutumia vifuatavyo kukamilisha chaii yako; unaweza kutumia tangawizi na kumbuka pia tangawizi ni dawa ya zaidi ya magonjwa 72 mwilini.

Kwa hivyo unapoinywa chai ya tangawizi siyo unaepuka madhara ya kaffeina peke yake, bali pia unakuwa umekunywa dawa ya zaidi ya magonjwa 72 mwilini. Unaweza pia kuweka mdalasini, mchaichai, kukamulia ndimu, pia unaweza kutumia mchanganyiko wa viungo vingi vua chai ambavyo vinapatikana kwa wingi katika soko la Kariako Dar es Saalam na Zanibar.
Haya vp pombe sigara na bange ?

Usiwalishe watu matango pori
 
Mie nilikuwa napenda kutumia kahawa vikombe 2 hadi 3 kwa siku nikawa nasumbuliwa na kiungulia hadi nikaacha ,,, ,mleta mada umeelezea vizuri lakini kuna baadhi ya vitu mbona kama ni tofauti mf coffee inasaidia kuzuia kisukari ni research imefanyika
 
wachina nao na wahindi si wangeisha,,,tunaomba watu wa iringa na mbeya mje hapa na takwimu za majani ya chai
 
Sasa unategemea viwanda vya majani ya chair vifungwe? au lengo lako ninini? Wazazi wetu wamekunywa chai tokea enzi nahadi sasa hivi wako fiti,
 
Back
Top Bottom