Madhala ya kutofanya mapenzi kwa mda mrefu.?

Bosco massawe

Member
Jan 23, 2012
18
3
Jmn najua humu kuna madokta naomben msaada wa kufahamishwa madhara yanayoweza kumpata mwanaume endapo atakaa mda mrefu bila ku do
kama hayapo je kuna faida?
Ni zip?
NAWASILISHA
 
Mimi nilipozaliwa nilikaa kwa muda wa miaka 17 bila ya ku-do na bado sikupata madhara.
 
Kaa, kuanza ngono ukiwa na 17 ndo umekaa muda mrefu! Mbona ulianza ngono ukiwa minor? Duniani kuna mambo!
Huyo uliyefanya naye ukiwa na umri huo kama alikuwa mkumbwa basi alistahili jela miaka 30!
 
Binti nilie anza nae tulikuwa the same age (balehe mkuu ilikuwa inasumbua) halafu nikarudia tena nikiwa na miaka 20. the rest is history. Ila nilikuwa mwaminifu nikiwa na mmoja ni huyohuyo..ila juzijuzi nilivunja kanuni hii lakini nimejisahihisha. Nawe lete story ya kwako....Weye bikra?
 
Mwanadamu ni mashine ambayo mtengenezaji wake ali fikiria kila scenario inayoweza kutokea kwenye mwili. Hata kama usipo do kwa muda mrefu, mbegu zozote zitakazo undwa zitakuwa recycled. Labda kwa muda mfupi utahisi discomfort kuwa gololi zimejaa lakini zinarudi na kuwa OK. Na mwili utakuwa una uwezo kutumia raw materials hizo kwenye activities za kuujenga hasa kwenye misuli.
 
Jmn najua humu kuna madokta naomben msaada wa kufahamishwa madhara yanayoweza kumpata mwanaume endapo atakaa mda mrefu bila ku do
kama hayapo je kuna faida?
Ni zip?
NAWASILISHA
attachment.php

Kuna Madhara makuu kutofanya jambo la mapenzi kwa muda mrefu ,kwanza mwili unakosa nguvu,akili pia inakuwa haifanyi kazi vizuri,unakuwa mtu mwenye hasira hasira zisizokwisha,au mtu mwenye huzuni huzuni pasipo na sababu yoyote ile unakuwa mtu mwenye wasiwasi mwingi pasipo na sababu yoyote ile,na pia unapata ugonjwa wa Stress hayo tu ndio baadhi ya madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu inafaa uwe una fanya tendo la ndoa kwa wiki japo mara 2 au 3 huo ndio ushauri wangu.
 
mkuu hii si kweli labda tupe source ila alichosema Doctorz ni sawa kuna watu wana zaidi ya miaka 20 bila kumega mkate hawana complications kama hizo.
 
Hata kama usipo do kwa muda mrefu, mbegu zozote zitakazo undwa zitakuwa recycled. Labda kwa muda mfupi utahisi discomfort kuwa gololi zimejaa lakini zinarudi na kuwa OK. Na mwili utakuwa una uwezo kutumia raw materials hizo kwenye activities za kuujenga hasa kwenye misuli.

Hahahah...atakomaa kama Ng'ombe aliyehasiwa..hahaha!
 
attachment.php

Kuna Madhara makuu kutofanya jambo la mapenzi kwa muda mrefu ,kwanza mwili unakosa nguvu,akili pia inakuwa haifanyi kazi vizuri,unakuwa mtu mwenye hasira hasira zisizokwisha,au mtu mwenye huzuni huzuni pasipo na sababu yoyote ile unakuwa mtu mwenye wasiwasi mwingi pasipo na sababu yoyote ile,na pia unapata ugonjwa wa Stress hayo tu ndio baadhi ya madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu inafaa uwe una fanya tendo la ndoa kwa wiki japo mara 2 au 3 huo ndio ushauri wangu.

Ungemalizia na angalizo kuwa ni Kwa waliooa tu ndo wa du mara 2 had 3 kwa wiki.
 
mimi sio dr. but as far as akili yangu ndogo inavyonituma ,hakuna madhara zaidi ya faida tupu! one, utakuwa safe zaidi na magonjwa kama H.I.V, gono,kaswende,fungus na mengineyo mengi yakiwemo mapangusa n.k,pili; unabana matumizi yako ,eg vile ambavyo ungekuwa unawahonga mademu kila uki du nao,tatu; asikudanganye mtu nguvu unakuwa nazo kama simba ! ingekuwa mwili unachoka kuwa nazo basi wachezaji na wanariadha wangehimizwa ku -du kila siku ili wapate nguvu! four, ujue yale ni maprotene tu mwilini so huna haja ya kula korosho wala makaranga tena ,yaani outomatically u will have it ! Lastly huna haja ya kuhangaikia ma viagra pindi utakapo hitaji ku -du as manguvu yatakuwepo kama kawa vile vile kama utahitaji kumtengneza mtoto atakuwa very strong as far as your sperm will have matured enough kumtengeneza baby ambaye atakuwa strong sana.....
 
Madhara ni pale mwili unapohitaji tendo hilo lakini binafsi unauzuia,unaweza kupata madhara ya kisaikolojia.
Vinginevyo usipo do na binafsi ukajiona kawaida tu hapo hakuna madhara yoyote.
Hongera sana Mkuu !!!
 
mimi sio dr. but as far as akili yangu ndogo inavyonituma ,hakuna madhara zaidi ya faida tupu! one, utakuwa safe zaidi na magonjwa kama H.I.V, gono,kaswende,fungus na mengineyo mengi yakiwemo mapangusa n.k,
...LOL! ADVANTAGES OVERWHEELS RISKS FACTORS.
 
attachment.php

Kuna Madhara makuu kutofanya jambo la mapenzi kwa muda mrefu ,kwanza mwili unakosa nguvu,akili pia inakuwa haifanyi kazi vizuri,unakuwa mtu mwenye hasira hasira zisizokwisha,au mtu mwenye huzuni huzuni pasipo na sababu yoyote ile unakuwa mtu mwenye wasiwasi mwingi pasipo na sababu yoyote ile,na pia unapata ugonjwa wa Stress hayo tu ndio baadhi ya madhara ya kutofanya mapenzi kwa muda mrefu inafaa uwe una fanya tendo la ndoa kwa wiki japo mara 2 au 3 huo ndio ushauri wangu.

mkuu sawa sawa nakuunga mkono.
Mim sio dokta ila nikisoma maelezo yako na kufananisha na thread 1 ililetwa na mdau aliye itwa LEGE naona mkuu umeongea sahihi.
Vile vile nilisha wahi msikia mtaalam 1 kwenye redio free akidadavua mathara hayo ikiwa pamoja na sehem za siri kuwa ndogo,kutojiamin kuwa na wasisi na madhara mengine meng ya kisaikologia ikiwa pamoja na kuwa na mahusiano hasi na jinsia tofauti.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom