snochet
JF-Expert Member
- Mar 31, 2011
- 1,407
- 1,110
Ndugu wanaJF,kati ya sisi watanzania wengi tunashindwa kufanikiwa katika mambo flaniflani kwa sababu tu hatujui format ya kuandika jambo flani.jst take your time to copy and paste any important document ambayo unafahamu iko vizuri na inahitajika na watu wengi,ila plz naomba msiandike true identities.mimi nitaanza na mkataba wa kukodisha nyumba.naomba wengine mfuate,tusaidiane tafadhali.do it for the sake of other JF members,naamini ipo siku utahitaji format ya kitu na itakuwepo hapa.nawakilisha