mzamifu JF-Expert Member Mar 10, 2010 6,377 3,825 Mar 8, 2012 #1 Ikiwa madereva wa mabasi yote, taxi, bajaji na bodaboda watagoma, je, unaweza kufananishaje na hili suala la mgomo wa madaktari? nani zaidi?
Ikiwa madereva wa mabasi yote, taxi, bajaji na bodaboda watagoma, je, unaweza kufananishaje na hili suala la mgomo wa madaktari? nani zaidi?
Daffi Jr JF-Expert Member Jun 25, 2011 3,825 906 Mar 8, 2012 #2 Hii nchi ni nchi ya migomo,wanafunzi,walimu,madaktari!nataka nao hao madreva wagome walau tujue inakuwaje!
Hii nchi ni nchi ya migomo,wanafunzi,walimu,madaktari!nataka nao hao madreva wagome walau tujue inakuwaje!