Madereva wa Mabasi yaendayo mikoani tokea Ubungo wamegoma!

Hakuna kinachooendelea, hivi hata hapa tunahitaji FFU kweli? au kutishiana tu??
 
Tujuzeni wenzetu mlioko maeneo ya ubungo na kibaha vipi hali ikoje hapo
 
Poleni sana ndugu zetu wasafiri hasa wendugu unaenda kwenye ViNONO njombe umenikumbusha mbali kiongozi "miguhu,misaula,ing'owo,inyatwanga,amasebele,ing'ande nk Vahungila mbevali kwilinga na vamwibata, vamwamdeke,vamwangimba,vamwalumato,vamwakalinga,vamwamuyinga, na vasegito mbevali!!!

Nye usemilwe ugimbi usope nzuki, fibagia pa Ifunda, ndiwona udobwike sana
 
Jamani nimeamua kuondoka eneo la tukio ila kinachoendelea ni vurugu kutokea, abiria wanadai warudishiwe nauli, na ofisi zimefungwa, huku abiria wanaendelea kuingia kituoni! hakuna huduma za afya labda FFU watasaidia ...UJINGA
 
Ndio waandishi wa habari wamefika sasa ivi, Kova yupo na FFU wake ila sijajua kazi yao hadi sasa! Haya mdau mwingine atusaidie kutujuza kitakachokua kinaendelea
 
Nye usemilwe ugimbi usope nzuki, fibagia pa Ifunda, ndiwona udobwike sana

Ahaaa!haaa! Kweli nyumbani kuzuri! Nilishaapa hata leo hii nikawe rais wa iraq siwezi kusahau lugha yangu ya asili!! Vava mwamgimwa de! Vatige mibite mkakwamile imenee,mtegulage na mangogo!!
 
Ndio waandishi wa habari wamefika sasa ivi, Kova yupo na FFU wake ila sijajua kazi yao hadi sasa! Haya mdau mwingine atusaidie kutujuza kitakachokua kinaendelea

Elli, tunakushukuru sana kwa kutujuza. Ubarikiwe.
Nikutakie mapumziko mema maana najua umechoka tena ukichanganya na udhia uliopata kutokana na mgomo huo unahitaji total rest.
 
Mm bi mkubwa kanipia sasahv wanataka kurudishiwa nauli zao,na ofisi zimefungwa.
 
Sasa ni sa sita na nusu wale walioko ubungo watujuze kama mabasi yameondoka au bado kunji linaendelea.
 
Sasa ni sa sita na nusu wale walioko ubungo watujuze kama mabasi yameondoka au bado kunji linaendelea.
 
Nipo ubungo hakuna kinachoendelea mpaka sasa basi la Champion lililotoka lipo hapa sheli limepaki
 
Naambiwa kuna basi la kusini liliondoka wadau wamelifukuza wamemtandika dereva yuko hoi na vioo wamevunja
 
Hii ya leo kiboko. Dereva mwenye basi la Fatima alifanya kama anatoka akaliweka pembeni jirani na geti akatimua, safi kabisa
 
hii safi sana,huu ndio mwanzo wa kuwapo na ajira rasmi ya udereva kwenye makampuni binafsi,wamezidi kunyanyasika.pia walazimishe bei ya mafuta kushuka.
 
Back
Top Bottom