Madereva acheni ufala gomen mwezi

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
50,956
22,148
Niliwambia hizi zakugoma leo kesho. Serikali itawatia. Mimba. Gomeni serious. Mwone waache kuwahadaa

swala makubaliano. Yoyote yawekwe. Kwamaandishi. Mmojawenu akipindisha muweke. Nakitakachofwata msikubali makubaliano yamdomo
 
Hata hao medereva hawana akiba na siku 2(mbili), hata hivyo huwezi kushindana na mwenye mali, sana sana utaishia kuangusha lori, basi kwa frustration.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom