Madent wa Kitanzania Wajiuza Majuu-cheki picha hapa

nilikwishatoa post yA namna hii watu humu nwakapinga..mbona hata wanaume nao hivyo hivyo...kupumuliwa mgongoni na kuolewa na wanawake wazee..
 
nilikwishatoa post yA namna hii watu humu nwakapinga..mbona hata wanaume nao hivyo hivyo...kupumuliwa mgongoni na kuolewa na wanawake wazee..

hahahahahahaha

haya bana

wote hao wakemewe,kama ile ya mashoga wa mombasa
 
Sasa hiyo picha yako inathibitisha vipi kujiuza na huo utanzania unaosema.[/


nyie ndio mafisadi
kila kitu mnataka udhibitisho,wanini sasa wakati kila kitu kipo wazi? kama vipi ingia katika website ya THESTAR ONLINE ya nchi tajwa hapo juu ili uhakikishe hicho ukitakacho,acha uvivu,ndio nyie mnaosign mikataba bila kusoma,mwisho wa siku mnatuingiza ktk matatizo
 
Sasa hapa kuna lipi jipya, hapa bongo mitaa yote ya madada poa imejaa madenti wa colleges kama KIU, IFM, CBE, UDSM, DiT name them.

Nenda pale kona bar, utawakuta madent wamejaa pale, tena wengine wanasoma ktk chuo kinachotoa taaluma zinazohusiana na masuala ya kustaawisha jamii. Any way but they serve as shock absorbers in unstable marriages and relations. Watu wakisha frustrate each other knye mahusiano basi hawa wana ustawi wa jamii pale kona bar au Hongera bar wanawapooza mitima yao kwa mapenzi motomoto kwa gharama ndogo kabisa, hasahasa mwishoni mwishoni mwa semester, wakati bum limeisha.
 
Biashara au Kazi ya kwanza kabisa Dunia ni KAMARI na UMALAYA, ata Yesu alipokuja alikuta mambo haya.....
anayejiona yeye ni msafi aokote jiwe aanze kuwatupia hao wanafunzi.
 
dunia imebadilika nyie mnakichaa!! kuna viwanda vingi sikuizi'muziki.cinema na ngono pia'wakina justin slayer uko marekani wanamadegree lakini wameingia ktk viwanda vya ngono sababu ni ajira nyepesi'TOA upumbavu wako hapa'dunia ipo level ingine wewe mshamba.'mwache dada auze mwili alete dollar nyumbani.
 
Haya wana Jf,sio kila apatae scholarship kwenda kusoma nje ya Tanzania huenda kufanya kile kilichokusudiwa ,baadhi yao huenda kuendeleza kile alichokizoea kukifanya hapa Tanzania.

unaweza kuangalia hapo pichani labda waweza mwona Dada,Ndugu,Mjomba Akiuza mwili wake huko aliko,

It Is an open secret that certain nightspots in Kuala Lumpur where foreigners gather are known to be pick-up joints for women of certain nationalities.

They charge anything between RM200 for a single session and RM600 for an all night session at any hotel.
These women carry glamour names like Glory, Sophea, Steffie, Joey, Sarfee, Prescia, Noami or Jim,
They are aged between 20 and 30 and claim to be from Ghana, Tanzania, Togo, Cameroon, Botswana and Nigeria.

African.jpg


Waiting for clients: Some of the African girls waiting for potential customers near a nightclub in Jalan P. Ramlee.

A 22-year-old girl, claiming to be from Tanzania, said she was studying English in a college in the city and was not a regular patron at the club.
"I do not come here every day but only when I needed some extra money and company,'' she added.

Dada wa kwanza kutoka kushoto ni kama muhaya vile, wa pili ni kama mchanga wa rombo, wa tatu ni either mpare au dada wa kitanga, lakini kuna sauti inaniambia ni kama dada wa iringa vile, wa mwisho wala sijiulizi sana lazima mpogoro huyo..

yaani nimehisi tu!
 
dunia imebadilika nyie mnakichaa!! Kuna viwanda vingi sikuizi'muziki.cinema na ngono pia'wakina justin slayer uko marekani wanamadegree lakini wameingia ktk viwanda vya ngono sababu ni ajira nyepesi'toa upumbavu wako hapa'dunia ipo level ingine wewe mshamba.'mwache dada auze mwili alete dollar nyumbani.

mweeee!!!!!
 
Back
Top Bottom